Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

huenda unajichanganya, unachanganywa ama una changanya mambo...

sikulaumu, kuchanganyikiwa kwa maendeleo anayoyaleta Mama, hilo ni jambo la kawaaida tu, na huu ni mwanzo tu, na bado mambo mengi sana mazuri yanakuja...

ni vizuri kwenda taratibu kwa uangalifu unapojadili mambo haya muhimu sana....

jitahidi uwe na msukumo wa kizalendo na sio uchochewe na mihemko ya kisiasa na mirengo kujadili mambo mazito na ya maana sana ya kitakwimu kama hili 🐒

hata hivyo,
kila zama na kitabu chake..

relax kua na subra mambo ni bam bam, chini ya kiongozi wetu makini, shupavu sana na madhubuti Rais comrade Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Mungu bado hajamalizana na Wahuni wa taifa hili,2025 anatuletea Magufuli mwingine,watajua hawajui!!
CCM ndo ile ile ya kutumia mitutu na silaha za moto kuua na kutesa Ili kuiba kura so hakuna mabadiliko yoyote Yale utasha ngaa huyo mother anarudi tena 2025.
 
Sio kitu cha ajabu… kukopa for capital investment Haina maana hukua na cha kurudisha kama
Gawio
 
 

Umeishia kulalamika tu, hujaleta ushahidi wowote. Ni kawaida ya nyumbu wengi
 
Umeishia kulalamika tu, hujaleta ushahidi wowote. Ni kawaida ya nyumbu wengi
kamwe siwezi kumlalamikia mpotoshaji mnyonge, ni aibu na ni kosa la kizalendo, kwa watu makini na wenye maono ya mbali 🐒

takwimu hazijadiliwi kwa dhana, kubuni, nadharia, hisia au mihemko kamanda🐒

wacha Mh.Rais achape kazi kwa nafasi wananchi wafurahie matunda ya mipango madhubuti ya serikali sikivu ya CCM 🐒
 
Sio kitu cha ajabu… kukopa for capital investment Haina maana hukua na cha kurudisha kama
Gawio
Kwa hiyo akili yako inaona kabisa kulikuwa na cha kurudisha kutoka TTCL? Unaifahamu TTCL au umeandika tu kama headless chicken?
 

Hata kuteua marehemu ni kuchapakazi?
 
CCM Ni Wehu
 
Kwa hiyo akili yako inaona kabisa kulikuwa na cha kurudisha kutoka TTCL? Unaifahamu TTCL au umeandika tu kama headless chicken?
Nimeandika Kama double headed chicken

Kuhusu kurudisha…. Kama ndio surplus waliokua nayo or kwa mujibu wa sheria zilizopo za 5% ya gross margins irudi then sioni shida

As long as they could manage their balance sheet

Capital investment kwa nia ya kukua ni separate venture na Kama waliretain pia part of their revenue kuchangia growth yao basi Haina shida

Kuomba government guarantees kwa uwekezaji mkubwa faida yake kubwa ni kumpa financier comfort

Anyways…. Naona hasira isiyo na ukomo
 

Endelea kumpa elimu huyo nyumbu
 
Hata kuteua marehemu ni kuchapakazi?
kuchelewa kufahamu kwamba umefariki dunia sio dhambi, wala sio kosa...

na watumishi wa umma Tanzania ni waaminifu na watiifu mno, hakuna haja kufuatiliana au kumfuatlia mtu kama kumbikumbi kwasabb ya uaminifu mkubwa walionao kwa mamlaka na wananchi 🐒

kama umeteuliwa na wewe ni mtumishi mwaminifu wa umma mwenye cheque number, anae kuteua anakusubiri tu siku atakayokuapisha tu...

na hata siku anayokuteua, hahitaji wewe mteule uwepo mahali anapotanngaza kukuteua na kwahivyo hana haja kufuatilia kwasabb mfumo umethibitisha wew ni mtumishi wa umma mwenye vigezo vyote unaestahili uteuzi..


usipotokea kwenye uapisho, ndipo sasa ataanza kufuatilia kujua kulikoni hujatokea, lakini si vinginevyo 🐒
 

Kuteua huwezi, utaweza kusoma mikataba?
 
Tusubiri.
 
Kuteua huwezi, utaweza kusoma mikataba?
mwanzoni kabisaa kwenye reply yangu nilisema huenda unajichanganya, unachanganywa au unachanganya mambo na naona hiyo changamoto nilio ibaini tangu kwenye hoja yako ya msingi unaidhihirisha rasmi 🐒
 
mwanzoni kabisaa kwenye reply yangu nilisema huenda unajichanganya, unachanganywa au unachanganya mambo na naona hiyo changamoto nilio ibaini tangu kwenye hoja yako ya msingi unaidhihirisha rasmi [emoji205]

Huna uwezo wa kuonyesha nilipojichanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…