Rais Samia unadanganywa, DP World hajaleta tija yoyote kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Kuliko wizi na uzembe ambao wafanyakazi wa TPA wamekuwa wakifanya, ni bora tu hao DP WORLD waje na wapewe malengo ya makusanyo.

Kwa taarifa yako hata TBL, TCC, NMB hadi mwaka 1993-7 yalikuwa mashirika ya Serikali na yaliajiri wafanyakazi wazembe. Hakuna cha maana Serikali ilikuwa inapata zaidi ya Serikali kuwapa ruzuku ya kujiendesha.

Angalia leo performance ya ubinafsishaji wa TCC, TBL na NMB, ni makampuni ya mfano
 
Hebu tumtendee haki Samia hata kama hatumpendi. Unasema huoni mikopo inafanya nini? Yaani miaka 3 Treni ya SGR na Bwawa la umeme vimekamilika ambavyo Magufuli Olivia aliviacha vikiwa chini ya 30%.

Watanzania kwa chuki ni hatari
"Kuwa chawa siyo tiketi ya Kuwa mpumbavu"
MMM'Voice
 
Kwanza hao DP World wangeturudishia gharama tulizoingia za kuboresha miundombinu ya kwenye hizo gates...Ni zile hela tulizokopa huko kwa Walawi
 
Marehemu Magufuli tunamlaumu kwa baadhi ya mambo ambayo angeweza kuyaepuka.

LAKINI

Kwa kweli kuna mambo mazuri ameyafanyia Taifa hili. Yaani ukikosa kukiri kuwa kuna mazuri marehemu Magufuli aliyafanya, utakuwa na tatizo.

Lisu, pamoja na kufanyiwa aliyofanyiwa, LAKINI alikiri pia kuwa marehemu katika masuala ya mali za asili kuwa eti mchakato wa kuzipora bandari ulianza wakati wake, alikataa kabisa, na kusema kuwa, tena marehemu alipenda sana kila kitu tufanye wenyewe.

Mimi naamini makosa ambayo Magufuli aliyafanya, siyo kwa sababu ya kukosa uzalendo, bali alikuwa too ambitious, na ingekuwa inawezekana, alitamani Tanzania iwe bora kuliko nchi yoyote Duniani. Na hivyo kwa yeyote aliyehisi kuwa labda anamfanya asizifikie ambitions zake, basi aliweza kumtendea uovu wowote. Kama ambitions zake angezifanyia integrations sahihi na masuala mengine muhimu kwenye uongozi, angefanikiwa sana, na kuwa wa mfano.
 
Bado mnashindwa tatizo ni uongozi, usimamizi, msimamiaji.

Mtu mweusi hakuna anachoweza, labda pombe na ngono!
Mama yako samia ndio amekuja kuthibitisha kwa vitendo kabisa hii kauli... kwamba mtu mweusi hakuna anachoweza kufanya kwa ufanisi hapa dunianj zaidi ya anasa na wizi... na ndio maana kaamua kuwakabidhi rasilimali za nchi binadamu wenzake kutoka mataifa mengine wenye milango ya fahamu sawa na yeye wamuendeshee rasilimali hizo huku yeye wakimgawia kidogo ya kile kitakachopatikana na huku nyie machawa wake mkimpamba na kumsifia kwa kila jambo analofanya hata akijampa.

Hakuna level ya juu zaidi ya kumfanya mtu adharaulike zaidi ya hiki alichokifanya na anachoendelea kukifanya samia.
 
Uko na akili mingi sana ambazo hazijafunikwa na uroho wa kulamba asali.

Yes alikuwa na mapungufu kibao sana ya kuudhi na kukera, ila kuna mambo meengi sana yenye tija na faida kwa kila mtanzania aliyafanya ambayo hata watangulizi wake hawakuthubutu kuyafanya.

Sema wengi hawa wanaojifanya kutokuona lolote jema lililofanywa na awamu ya tano ndio wale waliofinywa sana na kupoteza kabisa ramani ya madili yao kiasi kwamba mpaka leo hii bado hawajarudi barabarani... na hivyo hizo comments zao kumzodoa marehemu ni wanasukumwa na uchungu walionao wa kuharibiwa ugali waliokuwa wanaupata kwa njia ya shortcuts na si kwamba eti wanaumizwa na yale mambo yake ya ajabu kama kuminya demokrasia,kuharibu bunge,kutotoa ajira kwa wakati au kukwapua hela za watu kwenye mabenki.
 
Hii ya Halmashauri kurudisha hela inawezekana kabisa na inachangiwa na vitu vingi. Moja wapo ni uzembe wa viongozi Mkurugenzi au pia hela mnaletewa tarahe 25/6 na tarehe 29/6 saa sita usiku Akaunti zinafungwa zote kupisha ukaguzi na kuanza mwaka mpya wa fedha tarehe 1/7 kuja kufunguliwa Julai mwishoni
 
Hii ya Halmashauri kurudisha hela inawezekana kabisa na inachangiwa na vitu vingi. Moja wapo ni uzembe wa viongozi Mkurugenzi au pia hela mnaletewa tarahe 25/6 na tarehe 29/6 saa sita usiku Akaunti zinafungwa zote kupisha ukaguzi na kuanza mwaka mpya wa fedha tarehe 1/7 kuja kufunguliwa Julai mwishoni
 
Hii ya Halmashauri kurudisha hela inawezekana kabisa na inachangiwa na vitu vingi. Moja wapo ni uzembe wa viongozi Mkurugenzi au pia hela mnaletewa tarahe 25/6 na tarehe 29/6 saa sita usiku Akaunti zinafungwa zote kupisha ukaguzi na kuanza mwaka mpya wa fedha tarehe 1/7 kuja kufunguliwa Julai mwishoni
 

Una ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…