Wewe acha kukaririshwa utopolooo na ujingaaa wa kijiweniiiii. Kabula raisi hajafunga mipakaa, sisi wenyewee wakulimaaa ndio tumewauzia wake ya na wengine kutoka njee ya nchi I nyingiii tuuuu. Tumewauzia Moja Kwa Moja wageni hawaaa, ndio maana bei ya mahindii ilikuwa nzuriii Kwa mkulima. Sasa baada ya mheshimiwa raisi kufunga mipakaa, ndio hao madalali wako wakowanawarubuni wakulima Kwa bei za kipumbavu eti kisa raisi amefunga mipakaa hivyo mahindii hayana pa kwenda na kuanzaa kuhofisha wakulima Sasa wako wanauza mazao Kwa bei za kutupa Kwa hao madalali wakooo. Tuuulize sisi wakulima wa mahindii tulioko field, sio nyie mlioko maofisini kwenye viyoyoziii hamjui kitu chochote zaidi ya kupelekewa umbra. Raisi wanguu SAMIA tusikie sisi wakulima walalahoi hatuna Ajira nyingine zaidi ya kilimo, turuhusu mazao yetu tuuuze tupendapooo, Mungu atakubariki saana saaana.