Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

We kilaza kweli. Kwa taarifa tu hakuna mkulima anaenufaika na Madalali wa kibongo wanaokuja shamba kumlalia kwenye bei. Foreigners ndio wanalipa hela nzuri na mzigo pia wanaufata mashambani.

Kwa kutambua hilo nao madalali wanabeba mzigo wanaenda kuuza nje huko huko. Matokeo yake chakula kinaadimika nchini na mabei yanapanda bila kujali uchumi wetu ni dhaifu kuliko wa Kenya tunakowauzia. Sisi tunaumia bila sababu.
Huyu jamaa hajui kitu. Yeye anadhani bei inapandia shamba. Shamba anakuja dalali tu. Leo anauza mahindi kilo 800 kesho yameisha analetew unga kutoka mjini anauzia 2400 kilo na hela yenyew alikunywq ulanzi kipindi anasherehekea mavuno. Anarudi Tena kulaumu serikali
 
Wewe acha kukaririshwa utopolooo na ujingaaa wa kijiweniiiii. Kabula raisi hajafunga mipakaa, sisi wenyewee wakulimaaa ndio tumewauzia wake ya na wengine kutoka njee ya nchi I nyingiii tuuuu. Tumewauzia Moja Kwa Moja wageni hawaaa, ndio maana bei ya mahindii ilikuwa nzuriii Kwa mkulima. Sasa baada ya mheshimiwa raisi kufunga mipakaa, ndio hao madalali wako wakowanawarubuni wakulima Kwa bei za kipumbavu eti kisa raisi amefunga mipakaa hivyo mahindii hayana pa kwenda na kuanzaa kuhofisha wakulima Sasa wako wanauza mazao Kwa bei za kutupa Kwa hao madalali wakooo. Tuuulize sisi wakulima wa mahindii tulioko field, sio nyie mlioko maofisini kwenye viyoyoziii hamjui kitu chochote zaidi ya kupelekewa umbra. Raisi wanguu SAMIA tusikie sisi wakulima walalahoi hatuna Ajira nyingine zaidi ya kilimo, turuhusu mazao yetu tuuuze tupendapooo, Mungu atakubariki saana saaana.
 
Wewe hujielewiiiii, Bado unamawazo mgandooo ya kizamaniiii, hivi unafikiria baaada ya kukosekana Kwa Ajira wewe Bado unadhani kilimo Bado wanalima wauza ulanzi wenzioo?? Ebuu njoooo huku field ujioneee wasomi wenyemadigreee wanavyohenya na parizi na majarubaa, halafu unasema wakulima niwanywa ulanziiii, njooo huku uwaambie niwanywa huo ulanzi uone watakufanyajee. Raisi wanguu SAMIA tusikie wakulima. Tunakulilia
 
Bwana mfanyabiashara wa mahindi, Wacha janjajanja.

Wakulima wametulia tuliii na hawalalamiki, mmezoea kuwanyonga wakulima wa Watu.

Aaahhh au Nyie ni wale wenye Helari Maelf Kwa maelfu, Sasa zuio la chakula nje, mnaona kama limewaumiza?.
 
Wewe acha kukaririshwa utopolooo na ujingaaa wa kijiweniiiii. Kabula raisi hajafunga mipakaa, sisi wenyewee wakulimaaa ndio tumewauzia wake ya na wengine kutoka njee ya nchi I nyingiii tuuuu. Tumewauzia Moja Kwa Moja wageni hawaaa, ndio maana bei ya mahindii ilikuwa nzuriii Kwa mkulima. Sasa baada ya mheshimiwa raisi kufunga mipakaa, ndio hao madalali wako wakowanawarubuni wakulima Kwa bei za kipumbavu eti kisa raisi amefunga mipakaa hivyo mahindii hayana pa kwenda na kuanzaa kuhofisha wakulima Sasa wako wanauza mazao Kwa bei za kutupa Kwa hao madalali wakooo. Tuuulize sisi wakulima wa mahindii tulioko field, sio nyie mlioko maofisini kwenye viyoyoziii hamjui kitu chochote zaidi ya kupelekewa umbra. Raisi wanguu SAMIA tusikie sisi wakulima walalahoi hatuna Ajira nyingine zaidi ya kilimo, turuhusu mazao yetu tuuuze tupendapooo, Mungu atakubariki saana saaana.
Mlalahoi analima tangu lini🤣
 
Hapanaaa kabisa mkulima atapata hasara kubwaa saaana. Ngoja nikuambie kituuu, kabula hajafunga mipakaa mazao kama mahindii debe Moja tumeuza Hadi elfu 18000 baaada ya kufunga mipakaa mpaka Sasa debe Moja inaelekea elfu tanooo. Mimi ni kindakindaki wa mama SAMIA, ila Kwa hili la kutufungia mipakaa sisi wakulima, hapa tutamchukia saana. Labda niwajulishee tuuu kwamba, baaada ya mazao kupanda bei, yamefanya vijana wengi saana kupenda kilimo maana kunafaida saana. Mama SAMIA nakuomba sikia kilio Cha wakulima, wewe ni raisi wanguu msikivu saana. Tusaidie wakulima. Kulima ni matesoo saaanaaa. Tuhurumie
Mrudi kufanya shughuli mlizokuwa mnafanya kabla ya kulima🤣
 
Sisi walalahoi tunaomba mipaka ifungwe ili tuweze kuishi. Chakula sio kitu cha kufanyia mizaha
Siku ukiwa mlala hoi ndioo utajua jembe liko wapi ili ujikwamue kipato. Kwakuwa uko na mapayral na viyoyozi vya kutosha umesahau kwamba na wewe IPO siku tutakutana kwenye majarubaa . Ukumbuke Mungu ni fundii hadhihakiwiii. Ni ushaurii tuu nakupaa
 
Mkuu. Mi sina mtaji kwa sasa ila nishapambana sana na majaruba. Najua maana halisi ya kuwa mlalahoi.
 
Aisee mi nimefurahi mno mama kufunga mipaka. Mazao ya ku export yapo acheni mchezo na wali na ugali.
Kwakuwa uko kwenye payroll utaachache kukenua meno na kupongezana. Ili mkulima mlalahoi hohehahe aendeleee kudidimizwaa, ili nyinyi na mamishara yenuu MUENDELEE kutambaa. Huku wakulima mahindii tukiteketeza Kwa hasiraa. Na nyie mkiendeleza dharau zenu na kejerii zenu. Ila Mimi Nina Imani na raisi wanguu SAMIA atatusikiliza wakulima ili na sisi kipato chetu kipandee.
 
Mkuu siko kwenye payroll kabisa. Mishe nayopiga mimi wewe huko shamba unaweza kushukuru Mungu.
 
Mkuu. Mi sina mtaji kwa sasa ila nishapambana sana na majaruba. Najua maana halisi ya kuwa mlalahoi.
Wanajikutaka wanajua sana kilimo lakin ukweli ni kwamba madalali ndo wanaolalamika
Mfano kuna dalali nilikua naongea naye juzi mwaka jana kila trip moja ya kenya anakua na faida ya million 10 mipaka ikifungwa kwanin asilalamike
 
Back
Top Bottom