Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kawala kichwa kwa sababu wamevimbiwa🐒🐒🐒Na hawa anaowakata kila uchao si ndiyo hao unaosema amewaruhusu wale kwa urefu wa kamba?.
So kwa nini waliwe kichwa?, huko musoma kawala kichwa wengine tena wakae pembeni kwa kula urefu wa kamba.
Msimamo wa Samia anataka viongozi wajipimie bila ya kuvimbiwa.