Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Feb 7, 2022 #21 TODAYS said: Na hawa anaowakata kila uchao si ndiyo hao unaosema amewaruhusu wale kwa urefu wa kamba?. So kwa nini waliwe kichwa?, huko musoma kawala kichwa wengine tena wakae pembeni kwa kula urefu wa kamba. Click to expand... Kawala kichwa kwa sababu wamevimbiwa🐒🐒🐒 Msimamo wa Samia anataka viongozi wajipimie bila ya kuvimbiwa.
TODAYS said: Na hawa anaowakata kila uchao si ndiyo hao unaosema amewaruhusu wale kwa urefu wa kamba?. So kwa nini waliwe kichwa?, huko musoma kawala kichwa wengine tena wakae pembeni kwa kula urefu wa kamba. Click to expand... Kawala kichwa kwa sababu wamevimbiwa🐒🐒🐒 Msimamo wa Samia anataka viongozi wajipimie bila ya kuvimbiwa.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Feb 7, 2022 Thread starter #22 Behaviourist said: Kawala kichwa kwa sababu wamevimbiwa🐒🐒🐒 Msimamo wa Samia anataka viongozi wajipimie bila ya kuvimbiwa. Click to expand... Ni ngumu sana unaona mwenzako anakula, anasanza hata kwa kutupa ukoko nje alafu wewe ule huku unajipima!.
Behaviourist said: Kawala kichwa kwa sababu wamevimbiwa🐒🐒🐒 Msimamo wa Samia anataka viongozi wajipimie bila ya kuvimbiwa. Click to expand... Ni ngumu sana unaona mwenzako anakula, anasanza hata kwa kutupa ukoko nje alafu wewe ule huku unajipima!.
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Feb 7, 2022 #23 Tatizo ni lile lile kuchanganya taaluma na chama ndio maana tunakuwa na yote aya. Vyeo vya kisiasa ni adui kwa taifa
Tatizo ni lile lile kuchanganya taaluma na chama ndio maana tunakuwa na yote aya. Vyeo vya kisiasa ni adui kwa taifa
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Feb 7, 2022 #24 TODAYS said: Ni ngumu sana unaona mwenzako anakula, anasanza hata kwa kutupa ukoko nje alafu wewe ule huku unajipima!. Click to expand... 🤣🤣🤣
TODAYS said: Ni ngumu sana unaona mwenzako anakula, anasanza hata kwa kutupa ukoko nje alafu wewe ule huku unajipima!. Click to expand... 🤣🤣🤣