Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

Kumbe UNADHANI, haya we endelea tu kudhani!!.
Hatuna Rahisi, tuna mfano wake tuu!
 
Sasa Rais akilalamika nani atawawajibisha wasiowajibika vema?
 
Rais analalamika tena dah
 
Anaupiga mwingi
 
Anayependa watu walipwe Kodi Alisha nyosha mambo, akaja mwingine akasema hataki Kodi za maguvu, sasa wanalia nini tena
 
Wanatuchosha tu na hizo kauli. Kama Raisi wa Nchi alipaswa kuwa tayari na orodha ya wahusika wa kuzitafuna hizo pesa then ndiyo atuletee kauli hiyo na hatua zuiizochukuliwa dhidi ya wahusika. Ni udhaifu mkubwa sana kwake kukiri jambo la namna hii bila soni

By the way ni kwamba Wanajuana na wanalindana. Wacha mie nikakande ngano yangu ya kesho.
 
Nyie vilaza mnamchango mdogo sana kwa taifa hili
 
Hatuna Rais lzm tukubali hilo.
 
Wee jiulize waziri mkuu kila ofisi anayeenda kukagua innuozo na hakuna hatua inayo chukuliwa na anaishia kulalamikatuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…