Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Kuna baadhi ya nchi za kiarabu tena zenye nguvu ya pesa ambazo ziko kimya kabisa kwenye huu mzozo WA Israel na Palestine ,tena zingine zinataka kufanya Aman na israel afu Sisi Tujitie kimbelembele WAla tusijaribu,WAla tusiwaze tena tujiepushe mbali kabisa na huu mzozo
 
umemshauri vibaya sana.akifunga ubalozi wa Tanzania kule Tel Av,CCM itaanguka vibaya nakwambia.labda afunge zote ya palestina na israel
 
Back
Top Bottom