Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Kwanini asifunge ule wa wapalestina waliopigana upande wa Iddiamini kwenye Ile vita na Uganda ??
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Kwa sababu gani?

Itatusaidiaje?

Naamini Rais si mtu wa kukurupuka. Tanzania inaiihitaji Israeli kuliko Israeli inavyoihitaji Tanzania.
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Tumeshuhudia Libya ikisulubiwa kweupee..na Hakuna ubalozi uliofungwa ....
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Anaanzaje kuufunga ilihali mpaka sasa kuna watanzania wawili wameshikiliwa mateka na Hamas?...

Je hao watanzania wana kosa gani??
 
Hata mfunge bado wa ijumaa watapigwa th
 
Watu wanafiki sana, ndio maana Israel ameamua kufunga masikio awamalize Hamas. Wakati Hamas anavamia Israel na kuua watu hovyo, Leo Israel kaingia Gaza kuwamaliza mnalalamika. Hizo nchi zikivamiwa kidogo tu zitapigwa kelele.
Mkuu labda hufuatilii habari za kimataifa katibu mkuu wa united nations kaelezea wazi kuhusu hili swala kwamba unamkandamiza mtu kwa miaka 50 leo unalalamika kwa shambulio lake moja?
 
Tanzania hatuna tatizo na Israel,tuna tatizo na Hamas ambayo ni chanzo cha Vita hiyo ambayo imegharimu maisha ya waisrael na wapalestina wasio na hatia.
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Acha pombe mjomba. Arudishe balozi kwa ujinga wa Hamas
 
Back
Top Bottom