Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Hizi chuki mnazofundishwa huko madrasa za mafichoni dhidi ya wayahudi nenda kaishi uarabuni , sisi hatujafanyiwa baya na wayahudi, hayo yanayotokea huko ni COLLATERAL DAMAGE ktk vita, kila taifa lina haki ya kujilinda ikiwemo kumfuata na kummaliza adui huko aliko kama tulivyomfata Nduli Iddi Amin hata kama ni hospitali wanakojifichaga Hamas.
 
It was mistake yang'wanoko, Kang'welage noko.
Janjaweed usiku wa juzi wamepukutisha watu zaidi mia 2 na ushee ndani ya usiku mmoja tu na Dunia ipo kimyaaa kwasababu perpetrator sio myahudi ama mkristo.

Mimi nashangaa, Hamas hawakutoa taarifa kwamba watashambulia Israel. Ila Israel ilitoa muda kwa wapalestina kuhamia kaskazini ili ishughulike na Hamas vizuri. Sasa hapo utailaumu Israel kwa lipi?.

Israel inawajali wapalestina Sana ndio maana Jana IDF wametoa njia ya wapalestina kupitia kuelekea kaskazini.
 
Kwani tulishawahi kufunga ubalozi wa Russia hapa Tanzania?

Ya ngoswe tumuachie ngoswe, sisi tudeal na mambo ya Burundi, Somalia, DRC, Sudan, Eritrea.
Kwani Burundi na Somalia wanagombania uhuru wao? Hii ni kama ile ya South Africa,
 
Kwani walicho fanya wapalestina kilikua ni nini 🤔🤔 alafu palestina haina faida yoyote kwa Tanzania kama ilivyo Israel, vita ni yao haituhusu kwa namna yoyote ile
Inatuhusu sana,kama binaadam dhulma inafanyika hatuwezi kaa kimya.kwani nyinyi wakristo wa Africa mna shidagani na waislam???
 
TULISHATETEA SANA UBINADAMU HUKO NYUMA, TULICHOAMBULIA NI SIFA TU, KWENYE MIGOGORO KAMA HII NI BORA KUWA NEUTRAL AU KUEGEMEA UPANDE AMBAO MNA MASLAHI NAO AU UPANDE AMBAO WENGI WANAEGEMEA, NAAMINI TUNA MASLAHI MENGI NA ISRAELI KULIKO PALESTINA/HAMAS.
 
It was mistake yang'wanoko, Kang'welage noko.
Janjaweed usiku wa juzi wamepukutisha watu zaidi mia 2 na ushee ndani ya usiku mmoja tu na Dunia ipo kimyaaa kwasababu perpetrator sio myahudi ama mkristo.
Kwani huko myahudi anapotowa roho za watoto dunia imefanya nini??? Halafu kumhusisha myahudi na ukristo mnapata wapi ujasili huu?? kujipendekeza?? Afadhali hata waislam wanafanana diniyao na uyahudi kuliko huo ukatoliki...Wayahudi hawali kibudu kama Waisla. Wanaandika toka kulia kwenda kushoto kama wailam,wanawake wao Hijab kama waislam,hawaamini kwenye Christmas kama waislam na Lugha yao ni Kiarabu na Kiyahudi.na mengine nengi,sasa nyinyi hapo Buza kujipendekeza tu...
 
Back
Top Bottom