Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

Inatuhusu sana,kama binaadam dhulma inafanyika hatuwezi kaa kimya.kwani nyinyi wakristo wa Africa mna shidagani na waislam???
Huo ukristo na uislam unauleta wewe sasa, mada yako inaongelea palestina na sio Wakristo na WA Islam, kama ungekua na ubinadam ungekemea hamas walivyo angamiza watu 1400 kwenye ardhi ya Israel lakini kwakua uliona walicho fanya ilikua ni sahihi basi hupaswi kukosoa kinachotokea sasa hivi, narudia tena, vita ni vyao majirani, Tanzania havituhusu kwa namna yoyote ile hata wakimalizwa nchi nzima ni juu yao haituhusu na haina madhara yoyote kwa Tanzania
 
Unajifanya kukwepa si wewe ndio uliingiza uislam hapa...kutuhusu inatuhusu kama binadam hatuwezi kaa kimya..
 
Kwani huko myahudi anapotowa roho za watoto dunia imefanya nini??? Halafu kumhusisha myahudi na ukristo mnapata wapi ujasili huu?? kujipendekeza?? Afadhali hata waislam wanafanana diniyao na uyahudi kuliko huo ukatoliki...Wayahudi hawali kibudu kama Waisla. Wanaandika toka kulia kwenda kushoto kama wailam,wanawake wao Hijab kama waislam,hawaamini kwenye Christmas kama waislam na Lugha yao ni Kiarabu na Kiyahudi.na mengine nengi,sasa nyinyi hapo Buza kujipendekeza tu...

Tofautisha Israel na wayahudi. Israel Ina Hadi waarabu na waislamu.
 
Unajifanya kukwepa si wewe ndio uliingiza uislam hapa...kutuhusu inatuhusu kama binadam hatuwezi kaa kimya..
Israel walipovamiwa na Hamas wameua watu wangapi? Wakati huo wewe haukuwa binadamu ulete uzi wa kufunga ubalozi wa Palestina?

Ubinadamu wako umeanza walipovamiwa Gaza?
 
Unajifanya kukwepa si wewe ndio uliingiza uislam hapa...kutuhusu inatuhusu kama binadam hatuwezi kaa kimya..
Kuna mahali niliandika kuhusu uislam kabla ya wewe kuandika 🤔🤔 usikimbie kwenye mada uliyo ileta wewe mwenyewe, hiyo inakuhusu wewe na wenye mawazo kama yako, lakini kama nchi haituhusu, huo ubinadam ilipaswa uanze kuuomba hamas walipo Anza kuua watu hovyo
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Ni kweli hatuwezi kusgirikiana na blood thirsty motherfuckers
 
Umetumwa?

Toa orodha ya hao wengi unaowaongelea tuone.
Sababu ya kufunga huo ubalozi ni ipi?
Au unadhani wanafungaga kama vanavyofunga vibanda!?
1.southafrica
2.chad
3.colombia
4.bahrain
5.honduras
6.turkey
7.jordan
8.jordan
9.bolivia
 
Tulio wengi tunataka hivo na itakuwa subiri uone...It was a mistaken in the first place kwanini kufungua ubalozi kule.
Ondoa sweeping statements. Mpo wengi kwa kipimo gani? Mawazo yako usiyafanye yawe mawazo ya watu wote.

Sisi wengine hatutaki kabisa kuvunja uhusiano na Israel japo hatuungi mkono mauaji ya wasiohusika, hasa watoto. Lakini magaidi ya Hamas na mashabiki wao, yauawe tu maana hayana roho ya ubinadamu. Wale wayahudi ambao magaidi ya Hamas yaliwaua, ni binadamu wenye haki ya kuishi pia. Tena haya magaidi yamewachokoza Waisrael.
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
Jinga kweli wewe.

Kwani uliambiwa Tanzania ni nchi ya kiislamu.

Mlango 12:2-3

“nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;

“nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.

— Mwanzo 12:3 (Biblia Takatifu)
 
1.southafrica
2.chad
3.colombia
4.bahrain
5.honduras
6.turkey
7.jordan
8.jordan
9.bolivia

Watu wanafiki sana, ndio maana Israel ameamua kufunga masikio awamalize Hamas. Wakati Hamas anavamia Israel na kuua watu hovyo, Leo Israel kaingia Gaza kuwamaliza mnalalamika. Hizo nchi zikivamiwa kidogo tu zitapigwa kelele.
 
Back
Top Bottom