Papasa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,619
- 5,780
Huo ukristo na uislam unauleta wewe sasa, mada yako inaongelea palestina na sio Wakristo na WA Islam, kama ungekua na ubinadam ungekemea hamas walivyo angamiza watu 1400 kwenye ardhi ya Israel lakini kwakua uliona walicho fanya ilikua ni sahihi basi hupaswi kukosoa kinachotokea sasa hivi, narudia tena, vita ni vyao majirani, Tanzania havituhusu kwa namna yoyote ile hata wakimalizwa nchi nzima ni juu yao haituhusu na haina madhara yoyote kwa TanzaniaInatuhusu sana,kama binaadam dhulma inafanyika hatuwezi kaa kimya.kwani nyinyi wakristo wa Africa mna shidagani na waislam???