Hiyo haiwezi kuwa sauti ya watanzania bali sauti ya kobaz wanaounga mkono magaidi ya Hamas yenye ajenda ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia.Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.