Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Ndo hivyo imemkaa akilini kwamba lolote analofanya anakosea kwasababu tu ya uanamke wake..
Watu kama hawa inakuwa hawajawahi kuona lolote la maana kutoka kwa mwanamke wa karibu nae kuanzia mama yake hata ndugu zake wengine.

Siku hizi sibishani nao hawa nawafundisha logical fallacies tu wa Google kama wana nia ya kujifunza. Na kama Kiingereza wanajua.

Maana haya mengine bila Kiingereza kuyajua ni muujiza.

Hapo kuna logical fallacies kadhaa.

1. Logical non sequitur.
2. Argument from tradition.
3. Hasty generalization
4. Ad hominem.
 
Kidumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
 
Ondoa neno "dr" hapo
 
Naungana na wewe, tangu lini tukakubali kuongozwa na Ke, ni upumbavu tu. Sanduku la kura little mwanamke madarakani, yeye atabaki na kazi ndogondogo tu.
 
Acha uboya wewe. Huu uchawa wa aina yako ndo unawakimbiza wazalendo kama sie kusapoti upinzani.
Unaona Sasa imeshaanza kutukana hovyo,huna hoja.

Namba za Samia hazilingani na takataka zenu zingine zozote.

Nakupa nyingine,ni Rais gani aliyejemga shule za High School za Wasichana Tanzania nzima ? Kama hizi hapa 👇 👇
 
Wewe hama. Nenda CHAUMA kwa Mzee Hashim Rungwe au Chadema kwa Lissu. Sisi CCM tunaenda na Mama Samia!!
 
Wewe ni mpumbavu sana. Ningekuunga mkono kama ungetaja mapungufu ya mama samia ambayo yapo wazi lakini si kumpinga kwasababu ya uanamke wake. Punguani mkubwa wewe...
Wanaume na wanawake wenye akili kwa Pamoja hatutaki kuongozwa na mwanamke
 
Hilo linawezekana tu kwenye mifumo ya kubebana. Sidhani kama wanaccm wangempigia kura kama angekuwa anashindana na wenzake!
 
Acha uboya wewe. Huu uchawa wa aina yako ndo unawakimbiza wazalendo kama sie kusapoti upinzani.
Hata wapumbavu Huwa wanaojiita Wazalendo na ndio maana mnakimbia facts.

Nasisitiza usapoti au usisapoti ataapishwa Disemba Kwa sababu hakuna mvaa suruali yeyote anaweza kufikia Samia.kwa.delivery hayupo.
 
Hata muungane hamuwezi shidana na Mimi Kwa takwimu na data.

Narudia hakuna Rais wa kumshinda Samia kwenye delivery Kwa chochote ikiwemo Ajira ambazo yule mtu wenu alishindwa.,Hakuna.
Chawa hata kama ungeleta data za ikulu nani utamwambia akuelewe... Chawa!!!
 
Chawa hata kama ungeleta data za ikulu nani utamwambia akuelewe... Chawa!!!
Wenye akili wanaelewa ila mapunguani mlioshikiwa akili na ambao mnadhani mkiwa na mboro ndio kuleta maendeleo hamtaelewa.

So hoja zangu ni Kwa wanajitambua na wanao gauge mtu Kwa matokeo yake na sio Jinsia zenu.
 
Ebu jielekeze vizuri. Jinsia ya Rais kama kiongozi mwingine haimfanyi wala kumuongozea sifa za kuwa kiongozi bora!
Kifupi ni kwamba... bila kujali jinsia, Samia hawezi kuibuka mshindi kwenye uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia!
 
Ndo hivyo imemkaa akilini kwamba lolote analofanya anakosea kwasababu tu ya uanamke wake..
Watu kama hawa inakuwa hawajawahi kuona lolote la maana kutoka kwa mwanamke wa karibu nae kuanzia mama yake hata ndugu zake wengine.
Demi , wanawake mnafanya mengi tu ya maana.
Hata Dr Samia I am sure amefanya mengi ya maana, hoja yangu mimi ni namuombeaje kura kwa watu wanaoona wanawake hawatakiwi kuongoza wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…