Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.
wewe unaishi dunia ipi? nani alikwambia kuwa kwa hii dunia ya sasa kuna hayo mawazo?
 
Ni mbaya sana kuwa na ubaguzi wa kijinsia.
Ingetosha tu kuandika kuwa hana uwezo, ungeeleweka vyema sana badala ya kuweka unafiki wa KiCCM.
Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Utafika mwisho kabla ya mwisho wa hiyo CCM
CCM labda muuwe na muibe kura sivyo hamtoboi 2025 huo ndo ukweli. Kwanza mpaka hapo ushamtoshia maisha huyu jamaa et "utafika mwisho kabla ya mwisho wa CCM" akili huna
 
Mbona umepanic.
Kiuhalisia mwanamke anaweza kuwa kiongozi lakini sio kwa ngazi ya kuongoza Taifa.

Madhaifu ya mwanamke yapo na hayakwepeki. Kama vile ubora wenu unaonekana katika nyanja ya kifamilia.

Mimi mwanaume siwezi kuchagua mwanamke aniongoze. Siwezi na haitokuja.
Kidini, kikabila, kisaikolojia, kifalsafa na kihisia zote hizo nisababu
Una matatizo mahali. Hao wanaume waliopita wamefanya maajabu gani kuliko huyu mama?
 
Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.
binafsi nawapongeza ccm kwa kumteua samia agombee akapambane na wapinzani ili anguko la ccm litokee, huwezi kuyazuia mafuriko yawezekana ndo hatima ya ccm kushika dola
 
Mimi nina kadi ya muda mrefu.

Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.

Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili. Sio kwamba Trump anapendwa sana, alishindwa na Biden mwaka 2020 tena akiwa rais.

Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?

Wasukuma jirani zangu wazee wa wanawake weupe kweli watampigia kura mwanamke?

Wazee wangu wayao wa Songea, watu wa kuoa wake hadi wa 4 kweli wataenda kumpigia kura mwanamke awaongoze?

Imetosha CCM, tumeweka historia tayari.
Miaka mitano ni mingi mno, damage itakua kubwa mno.

Si twezi utu wala sibezi uwezo wa Dr Samia, ila tuwe wakweli.

Tanzania bado sana.

Kidumu chama cha mapinduzi.
Chama Cha fomu moja...
 
Wewe ni mshenzi tu, kwahiyo kwakuwa anavaa ushungi/muislam ndio hafai, je angekuwa anavaa kimini na kuweka nyele za marehemu kichwani kwake ungekenua tu sio
Hoja sio mavazi. Hoja ni nature tu kwamba waafrika tumekuzwa ktk mfumo dume. Kuongozwa na ke haileti hamasa .
 
Back
Top Bottom