Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndo hivyo imemkaa akilini kwamba lolote analofanya anakosea kwasababu tu ya uanamke wake..
Watu kama hawa inakuwa hawajawahi kuona lolote la maana kutoka kwa mwanamke wa karibu nae kuanzia mama yake hata ndugu zake wengine.
Siku hizi sibishani nao hawa nawafundisha logical fallacies tu wa Google kama wana nia ya kujifunza. Na kama Kiingereza wanajua.
Maana haya mengine bila Kiingereza kuyajua ni muujiza.
Hapo kuna logical fallacies kadhaa.
1. Logical non sequitur.
2. Argument from tradition.
3. Hasty generalization
4. Ad hominem.