Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

MUNGU nijalie uzima niwe mwenye bahati kubwa sana kuwa mmoja kati ya wataofanikisha kumuondoa mkoloni mweusi pale October 2025,
Ahsante MUNGU
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Wenyewe wanasema damu changa hiyo bado
 
Mama D, wanawake mnafanya mengi tu ya maana.
Hata Dr Samia I am sure amefanya mengi ya maana, hoja yangu mimi ni namuombeaje kura kwa watu wanaoona wanawake hawatakiwi kuongoza wanaume?
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Mkuu ukilewa usiandike kitu
 
Mkuu ongeza na hii "Wasira oyeee" in Makongóro Nyerere voice"
 
Una maanisha una hofo atabeba mimba

Kasha vuka huwo umri
 
kua huru,
hamia vyama vingine vya siasa kwa haki, unang'ang'ana nini na unafiki moyoni? hakuna haja ya kubababika gentleman 🐒
 
Takataka gani hii umeandika🚮🚮nyambaff
 
Tanzania sisi wa mwisho kila kitu na chama changu ccm tunataka kuwaaminisha watanzania kwamba mjita wa mkoani Mara atampigia kura rais mwanamke tena anaevaa ushungi?
Aiseeeee sikutegea hiki
... Hii statement sidhani kama uliifikiria upana wake wakati unaandikia. Umekosea Mkuu.
 
Kwa ccm usijali, hawategemei kura, bali vyombo vya dola ndio vyenye jukumu hilo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umemsingizia samia kuwa ana deliver. Ana deliver nini? Waste product? Acha kumsingizia samia wa watu. Hakuna ajualo wala afanyalo. Mwacheni tu aenjoy urais nasi tu enjoy.
 
1.Samia anajenga hactarws 500k za umwagiliaji Nchi nzima,na Bajeti ya 1.2 wengine wamewahi fanya?

Nionyeshe nataka twende kimoja baada ya kingine.Na nataka ushahidi Mimi ninazo nitakupa hapa.
😄😄😄 wenyewe kwa wenyewe sasa
 
Wewe sio mwanaume wala wewe sio mwanamke

Nadhani umenielewa

Mi 5 tena na Samia Suluhu Hassan

CCM YA SAMIA MBELE KWA MBELE
Mama D mambo gani tena , nakubaliana na wewe kipindi cha embryology, mwazo kabisa huwezi tofautisha maumbile, ila kadri mda unavyoenda ,maumbile yanatofautiana na badae kupata mtoto wa kike au wa kiume, mambo ya uumbaji.

Hoja ya mleta mada ni kwamba sasa wewe mwanamke je jamii yote ipo tiyari kukupa kura kwa uongozi, unaleta mambo magum ya kisayansi kwenye mambo ya siasa .

Iyo shule ya embryology yenyewe ni balaa tupu unaweza isoma miaka 3 na bado isikae leo ndo unaleta apa.

Alafu mama D wewe kwa nini katika siasa kila upande ukiungaga mkono mambo huaribika?

Mwenda zake - kiko wapi

FAM - kikowapi .
 
Wenye akili wanaelewa ila mapunguani mlioshikiwa akili na ambao mnadhani mkiwa na mboro ndio kuleta maendeleo hamtaelewa.

So hoja zangu ni Kwa wanajitambua na wanao gauge mtu Kwa matokeo yake na sio Jinsia zenu.
Mbona mboro dada.... shida nini??
 
Wewe ni mpumbavu sana. Ningekuunga mkono kama ungetaja mapungufu ya mama samia ambayo yapo wazi lakini si kumpinga kwasababu ya uanamke wake. Punguani mkubwa wewe...
Mbona umepanic.
Kiuhalisia mwanamke anaweza kuwa kiongozi lakini sio kwa ngazi ya kuongoza Taifa.

Madhaifu ya mwanamke yapo na hayakwepeki. Kama vile ubora wenu unaonekana katika nyanja ya kifamilia.

Mimi mwanaume siwezi kuchagua mwanamke aniongoze. Siwezi na haitokuja.
Kidini, kikabila, kisaikolojia, kifalsafa na kihisia zote hizo nisababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…