Rais Samia unatupa wakati mgumu wanachama wa CCM

Sidhani kama hoja ya jinsia ina mashiko, labda kama shida ipo ndani ya chama au mifumo ya nchi, tunaweza kujadili.
 
Una matatizo mahali. Hao wanaume waliopita wamefanya maajabu gani kuliko huyu mama?
Bado haiwezi kuondoa madhaifu ya mwanamke.

Ni wadhaifu hasa katika kufanya maamuzi magumu. Kama nafasi aliyopo huyo mama.
 
Sidhani kama hoja ya jinsia ina mashiko, labda kama shida ipo ndani ya chama au mifumo ya nchi, tunaweza kujadili.
Hakuna Cha chama ni punguani tuu wachache.

Hakuna Rais anaeweza kufikia Samia Kwa lolote ,nyie mnashangaa huo mradi mmja mbona Kuna utitiri wa miradi Nchi nzima? Eg Vyuo Vikuu Mikoa yote
 
Dawa itawaingia polepole πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Una kijiwe cha nini wewe?
 
Oyaaaa wameanza kukanyagana we chadema endelea kuwapiga pvmbu mbn watakaa level tu. nyambafu washatuzea sana
 
HILI KITU MNATENGENEZA UTAKUJA KUUMBUKA VIBAYA SANA NAWAMBIA
 
Sisi ccm sio vichaa hatuwezi ruhusu mwanamke apigiwe kura dhidi ya mwanamme !!!labda kama tumeamua nchi iende upinzani!

Naamini nchimbi ndio mgombea wa urais !udini ukileta kelele Mwinyi junior at step up!
 
Na akisimama na kichaa Lissu ataomba mma! Lisu na Trump akili zao wanazijua wenyewe...na huyo kishoia alompendekeza kwenye umakamu ni bora angebaki tu mpango na ngonjera zake za mabadiliko ya tabia nchi.
 

Pole sana kwa maoni yako

Ninachojua mimi ambacho ndio ukweli ni kwamba majukumu ya kiutawala hayafanywi na kiungo cha uzazi (ke/me) ila yanafajikishwa na akili, hekima, uweza, uzoefu, elimu na ujuzi wa mtu awe mwanamke au mwanaume.

Halafu nikukumhushe tuu kwenye siasa mimi Sijawahi Unga mkono popote tukashindwa.

Rejea mijadala historia ya harakati za siasa ndani na nje ya nchi walau kwa miaka 15 utanielewa sana.

Na sasa nakuambia October tuna uhakika wa kushinda kwa kishindo toka kwa Rais mwenye jinsia ya kike
 
Siwezi mpigia kura mwanamke, labda mfumo wa uendeshaji wa nchi ubadilike. Hii nchi ambayo Rais hawezi kushtakiwa alafu nimpigie kura Samia? Sitaweza na mwambieni kabisa kanda ya ziwa asiihesabie.
 
Siwezi mpigia kura mwanamke, labda mfumo wa uendeshaji wa nchi ubadilike. Hii nchi ambayo Rais hawezi kushtakiwa alafu nimpigie kura Samia? Sitaweza na mwambieni kabisa kanda ya ziwa asiihesabie.
Hoja zako zinahusinaje na mwanamke mbona kama hueleweki?

Sema huwezi mpigia Kwa sababu za mfumo dume ila Mimi siwezi kuchagua mtu kisa Jinsia yake ,never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…