ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Mkuu unasema Magufuli alifanikiwa kuzuia fake news?
Pengine kipindi cha Magufuli ndio fake news zilishamiri na watu wakawa wanaziamini zaidi kuliko kipindi cha Samia
Alikuwa akikamata watu lakini haikufua dafu, kule Twitter kulikuwa na utitiri wa akaunti zilizokuwa zikisambaza uwongo kipindi cha JPM na ndio hadi Kigogo akapata umaarufu sana
Youtube alijaribu kuidhibiti lakini wapi, account zisizosajiliwa zilikuwepo na kupost tu habari fake
Samia aje na mkakati wake tu, ila kuiga ya JPM ataonekana vibaya zaidi,
[emoji16] mambo ya faida ATC kuvunja record, Burigi ikazipiku Mikumi na Serengeti, tukaingia uchumi wa kati mambo ni kweli tulidanganywa leo ukweli umejitenga.
Nakumbuka TWAWEZA walikuja na research yao [emoji16] bwana yule hana ushawishi kilichomkuta mkuruzenzi sijui kama passport alirudishiwa. [emoji16] awamu ya 5 acha tu nijinywee bia zangu hapa grocery