Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Hao watu watakaa jukwaa gani hapo uwanjani?
Itakuwa kama wakati uleee, mwaka 2015 enzi za Lowassa, Nape Nauye nadhani alikwenda Uwanja wa Mkapa, watu wakaanza taratibu kuimba 'Mabadiliko' huku wakizungusha mikono, kisha ikaambukiza uwanja mzima. Hikujalisha jukwaa gani.
 
Kwahiyo hiyo ndo gear mlo amua kuitumie nyie "vyura" kwa kudhani mtaidunisha shughuli ya "Mnyama"?
 
Mbona unabwatuka hovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…