Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Hao watu watakaa jukwaa gani hapo uwanjani?
Itakuwa kama wakati uleee, mwaka 2015 enzi za Lowassa, Nape Nauye nadhani alikwenda Uwanja wa Mkapa, watu wakaanza taratibu kuimba 'Mabadiliko' huku wakizungusha mikono, kisha ikaambukiza uwanja mzima. Hikujalisha jukwaa gani.
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
FB_IMG_1691141903938.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Kwahiyo hiyo ndo gear mlo amua kuitumie nyie "vyura" kwa kudhani mtaidunisha shughuli ya "Mnyama"?
 
Nyie madalali ya samia aliyehongwa na warabu mtanyooka tu na ujinga wenu mlioambukizwa na wasira aliyewadangaya eti lissu atazomewa chato shenzi kabisa, lissu alipoenda chato alishangiliwa zaidi ya mfalme na nyie wapumbavu mlioshikiwa akili na hao warabu koko kina dewji endeleeni khimba ujinga.
Mbona unabwatuka hovyo?
 
Back
Top Bottom