Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #21
BAKWATA ni dubwasha kubwa la mfumo, akijaribu kulifumua mfumo unaweza kumkatalia waziwaziNaona ungemwambia aivunje Bakwata ingekuwa vizuri zaidi, kuliko kumwambia asiende huko halafu tatizo la msingi liendelee kubaki pale pale.
Kama unakiri hivi, basi kubali tatizo unalolipigia kelele kuendelea kuwepo, labda Samia alipooze tu. Kwasababu unakubali mzizi wa tatizo umeenda chini sana.BAKWATA ni dubwasha kubwa la mfumo, akijaribu kulifumua mfumo unaweza kumkatalia waziwazi
Haya Mambo kila mwaka yapoTaarifa kutoka Bukoba zinasema kuwa Juzi watu wameuona mwezi dhahiri shahiri sasa Mufti iweje akose taarifa ya muandamo wa mwezi wakati njia za mawasiliano zimerahisishwa sana kwa sasa?
Mufti hemed bin jumaa alimwambia mwinyi,"inaelekea nyerere hakukwambia bakwata ni nini"..tangu pale mwinyi akaachana na bakwata,akawaahauri waislam waanzishe taasisi zingineBAKWATA ni dubwasha kubwa la mfumo, akijaribu kulifumua mfumo unaweza kumkatalia waziwazi
Hivi nyie huwa hamuwezi kutatua matatizo yenu mpaka mtafute mchawi pembeni.?Mufti hemed bin jumaa alimwambia mwinyi,"inaelekea nyerere hakukwambia bakwata ni nini"..tangu pale mwinyi akaachana na bakwata,akawaahauri waislam waanzishe taasisi zingine
HaaMtwara mwezi ulionekana juzi?
TakbiirNaona ungemwambia aivunje Bakwata ingekuwa vizuri zaidi, kuliko kumwambia asiende huko halafu tatizo la msingi liendelee kubaki pale pale.
Tatizo huwa hamjui kitu,hamfikiri...bakwata ilianzishwa na nyerere kupitia akina Adam nasib,qassim bin jumaa,Isa Simba nk,mwishoni mwa miaka ya sitini,baada ya kuivunja jumuiya ya waislam ya afrika mashariki(eamws),uchaguzi wa mufti bakwata makachero wa kumwagaHivi nyie huwa hamuwezi kutatua matatizo yenu mpaka mtafute mchawi pembeni.?
Ndiyo nimetoka kumpatia mhe rais risala ya waislam itakayosomwa kwenye baraza la Idd yeye akiwa mgeni rasmi. Kwahiyo ombi lako limechelewa Sana
By the way, BAKWATA ndiyo chombo pekee kinachotambuliwa na serikali kuwa ndiyo kinasimamia waislam wore nchini. Kama Kuna walio nje ya BAKWATA wanapaswa kuwa wapole tu.
Asiende ili atume meseji kwa Viongozi wa BAKWATA
Ngoja tuoneKatika uislam mwanamke hatakiwi kuhutubia
Ila hili swala la idd kuwa jana, tulilijadili sana ofcn jana, imekuaje bakwata waende tofauti na kenya?Kwahiyo serekali iko juu ya Mungu kiasi kwamba hiyo Bakwata inaweza kufanya itakavyo c hata kinyume na maagizo ya kitabu? Iddy ilikuwa ni jana, leo ni mapumziko ya kisiasa yaliyo kwenye makubaliano ya serikali na Bakwata.
Nadhani na kesho pialeo ni mapumziko
Kuna nchi ilikula idi jumapili peke yake, na wao wangekula tuuuTaarifa kutoka Bukoba zinasema kuwa Juzi watu wameuona mwezi dhahiri shahiri sasa Mufti iweje akose taarifa ya muandamo wa mwezi wakati njia za mawasiliano zimerahisishwa sana kwa sasa?
Nadhani na kesho pia