Rais Samia usihudhurie Baraza la Iddi ili kukomesha siasa katika dini

Rais Samia usihudhurie Baraza la Iddi ili kukomesha siasa katika dini

Naona ungemwambia aivunje Bakwata ingekuwa vizuri zaidi, kuliko kumwambia asiende huko halafu tatizo la msingi liendelee kubaki pale pale.
BAKWATA ni dubwasha kubwa la mfumo, akijaribu kulifumua mfumo unaweza kumkatalia waziwazi
 
BAKWATA ni dubwasha kubwa la mfumo, akijaribu kulifumua mfumo unaweza kumkatalia waziwazi
Kama unakiri hivi, basi kubali tatizo unalolipigia kelele kuendelea kuwepo, labda Samia alipooze tu. Kwasababu unakubali mzizi wa tatizo umeenda chini sana.
 
Baada ya hilo baraza si huwa kunakuwa na menyu pale??

Siwezi acha pilau kisa siasa.
 
BAKWATA ni dubwasha kubwa la mfumo, akijaribu kulifumua mfumo unaweza kumkatalia waziwazi
Mufti hemed bin jumaa alimwambia mwinyi,"inaelekea nyerere hakukwambia bakwata ni nini"..tangu pale mwinyi akaachana na bakwata,akawaahauri waislam waanzishe taasisi zingine
 
Mufti hemed bin jumaa alimwambia mwinyi,"inaelekea nyerere hakukwambia bakwata ni nini"..tangu pale mwinyi akaachana na bakwata,akawaahauri waislam waanzishe taasisi zingine
Hivi nyie huwa hamuwezi kutatua matatizo yenu mpaka mtafute mchawi pembeni.?
 
Hivi nyie huwa hamuwezi kutatua matatizo yenu mpaka mtafute mchawi pembeni.?
Tatizo huwa hamjui kitu,hamfikiri...bakwata ilianzishwa na nyerere kupitia akina Adam nasib,qassim bin jumaa,Isa Simba nk,mwishoni mwa miaka ya sitini,baada ya kuivunja jumuiya ya waislam ya afrika mashariki(eamws),uchaguzi wa mufti bakwata makachero wa kumwaga
 
Ndiyo nimetoka kumpatia mhe rais risala ya waislam itakayosomwa kwenye baraza la Idd yeye akiwa mgeni rasmi. Kwahiyo ombi lako limechelewa Sana

By the way, BAKWATA ndiyo chombo pekee kinachotambuliwa na serikali kuwa ndiyo kinasimamia waislam wore nchini. Kama Kuna walio nje ya BAKWATA wanapaswa kuwa wapole tu.

Kwahiyo serekali iko juu ya Mungu kiasi kwamba hiyo Bakwata inaweza kufanya itakavyo c hata kinyume na maagizo ya kitabu? Iddy ilikuwa ni jana, leo ni mapumziko ya kisiasa yaliyo kwenye makubaliano ya serikali na Bakwata.
 
Hizi Dini za wazungu zimetufanya wa Africa kuwa watu wa hovyo sana,tunathamini mambo ya kufirika kuliko uhalisia.

Wapumbavu sana hawa Wazungu na Waarabu waliotuletea huu ujinga-naona adhima yao imefanikiwa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Asiende ili atume meseji kwa Viongozi wa BAKWATA

Kwa sasa serekali na ccm kwa ujumla wanajishikisha kwenye kila taasisi ili kubaki madarakani. Na sidhani kama huyo mama anajali sana mambo ya imani kuliko madaraka.
 
Kwahiyo serekali iko juu ya Mungu kiasi kwamba hiyo Bakwata inaweza kufanya itakavyo c hata kinyume na maagizo ya kitabu? Iddy ilikuwa ni jana, leo ni mapumziko ya kisiasa yaliyo kwenye makubaliano ya serikali na Bakwata.
Ila hili swala la idd kuwa jana, tulilijadili sana ofcn jana, imekuaje bakwata waende tofauti na kenya?
 
Taarifa kutoka Bukoba zinasema kuwa Juzi watu wameuona mwezi dhahiri shahiri sasa Mufti iweje akose taarifa ya muandamo wa mwezi wakati njia za mawasiliano zimerahisishwa sana kwa sasa?
Kuna nchi ilikula idi jumapili peke yake, na wao wangekula tuuu
 
Siungi Mkono hoja. Rais ana imani yake ya dini. Msimlazimishe Rais aasi dini yake kwa sababu ya urais. Siungi Mkono hoja ya mleta mada.
 
Back
Top Bottom