Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

Hv ni lin na wap mmeusoma huu mkataba????
 
Kwa nini mnazidi kuweweseka kwani bandari itajengwa DRC?, kama ni hapa nchini hayo ndo maendeleo. Labda kuna ten percent huko Dar ikifa utafilisika, itapendeza zaidi kazi ya ujenzi ikianza Bagamoyo. Kazi iendelee
 
Nitauona vipi na hujawahi kuwa public published?
Sasa umejuaje kama upo? Na umejuaje content zake? Msijadili vitu ambavyo havipo. Mambo mengine hayahitaji akili kubwa sana kujua kwamba kama mkataba ungekuwepo kitendo cha kuuvunja lazma party moja ingeenda mahakamani. Achaneni na maneno ya mitaani yanayotolewa na wasioitakia mema nchi. Nchi siyo mtu mmoja. Hili lieleweke vizuri.
 
Ni wachache sana msiotaka isijengwe. Samia piga kazi, kosoakosoa tushawazoea
 
Kwa nini unasema haupo mkataba wakati bandari inataka kujengwa? Itajengwa vipi pasipo makubaliano /mkataba
 
Huo mkataba umeuona ? mambo ya inasemekana achana nayo
 
Rais siku hizi anashauriwa na makamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…