Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

Shoga la Kagame linajifanya kujua kila kitu.
 
Yaani wewe na mmeo ndo mnaotaka Rais wa nchi awafurahishe!!!??? au sijaelewa mahala...au hizo multiple accounts za jf na kwingineko wanolipwa kumdhihaki Hayati JPM ndo watanzania (the majority)?
 
Oky kustafu kuna mpa mtu kupunzika kutokana na kutumikia taifa kwa mda mrefu lakini kama bado ana nguvu na hali ya kuendelea basi apewe mda au apangiwe majukumu mengine ya taifa
 
Umri wake ushagota, ni muda muafaka sasa wa huyu bwana akachia hiyo nafasi huko JWTZ kuna watu wengi tu ambao wameiva zaidi ya huyu Mabeyo

Ila ni muda sasa wa mama kuendelea kulipa fadhila maana bila yeye sidhani kama angekuwa hapo alipo.
 

Jeshi ni taasisi kubwa haiwezi kumtegemea mtu mmoja.

Ulichokiona na kukisikia baada ya Dr Magufuli kuondoka ulikuwa msimamo wa uongozi mzima wa jeshi kwa maana CDF,Chief of Staff,Chief of Air Force,Chief of Navy,Chief of Infantry,Chief of National Services,Chief of Personel,Chief of Military Intelgency and Chief of Medical Services.

Hivi ndio vichwa vilivyokaa na kuamua katiba lazima ifuatwe na iheshimuwe.Mmoja wapo katika ya hao niliowataja hapo juu atachukua mikoba ya General Mabeyo and most likely is Chief of Staff kama seniority itazingatiwa.

Ngongo kwasasa Ukraine.
 
Yani jamaa umeongea pumba sana, Sijui akili zako umezificha wapi
 
Mama atakuwa amekusoma na kama hajakusoma basi atafikishiwa ujumbe na wapambe wake.

Mabeyo anayo hofu ya Mungu, ndio maana anajitahidi kwa uwezo wake kutenda mema kwa ajili ya maisha ya baadae baada ya kifo.
 
Askari wengi hawapendi huyo jamaa ana kashafa kadhaa like kutoa hvyo vyeo aliwahi kutoa vyeo kanisani kawe anaposali, ana tuhuma pia ya pesa za likizo ambapo askari wanadai huku waziri wa ulinzi akitoa ufafanuzi kuwa pesa zilishatolewa. Kwa kifupi wapiganaji wengi hawamkubali huyo jamaa mwache akapumzike tu
 
Kama alivyorithi vivyo hivyo atarithiwa. Angekufa TZ ingebaki bila CDF?
 
Kutoa vyeo kivipi? Sijaelewa
 

Nenda jeshini utajua wa kumrithi!
 
Nimeota; hii nafasi anapewa jinsia ya ke
 
Nachoona ataweka mwanamke ili ajisikie tu vizuri...
na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…