Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Alikufa kwa kutolewa roho na ISRAELI baada ya muda wake wa kuishi hapa duniani kupita,Sasa alikufanyaje kvp?haya alikufa akiwa amelala chali,umeridhika?
Kwa iyo na wewe unaemtukana Samia upigwe risasi?Wewe huna akili
Unawaza Tundu Lisu tu
Tundu Lisu ni mdomo wake usio na breki ndiyo ulimponza, anaongea tu bila nukta
Anamtukana Rais wa nchi utadhani ni mdogo wake
Kuna namna ya kukosoa ila siyo kwa style aliyokuwa akitumia Lisu, ni kukosa hekima na adabu
Kama hujui basi ngoja tukuambie, hakuna Rais ambaye siyo dikteta na hakuna Rais ambaye hakuwahi kuua watu
Wapo Marais hapa hapa Tanzania wameua maelfu ya watu kwa makafala mbalimbali
Asinangwe Ye Nani?Mama kwa sasa hivi alitakiwa toka mwanzo aende kimyakimya sana na S gang bila kumnanga mtangulizi wake hadhari kwa mapema
Naomba kutofautiana na wewe hapa. Hawa ni wapinzani wake ndani ya chama, amalizane nao vipi? Hawa ni wachumia tumbo wa magufuli, awaache wafanye yote yaliyo kwenye fikra zao as long as siyo JINAI! wala asifanye confrontation nao, awapuuze, asiwaonee. Hivyo hivyo kwa wapinzani. Awaache wafanye yaliyo kwenye sheria, asifanye confrontation nao as long as hawafanyi JINAI. ...................................then wanachi wataamua wenyewe.kundi kubwa la wafuasi wa Magufuli (sukuma gang)
Mkiambiwa nyie ni wakabila na hamfai kuongoza hii nchi tunajua tunamaanisha nini?Hakuna ukweli hapo mnajidanganya bure
Zaidi ya asilimia 50 ya wanajeshi na askari polisi nchi hii ni watu kutoka kanda ya ziwa
Ebu sema tusi gani alilitamka Lisu? Liandike hapa please.Wewe huna akili
Unawaza Tundu Lisu tu
Tundu Lisu ni mdomo wake usio na breki ndiyo ulimponza, anaongea tu bila nukta
Anamtukana Rais wa nchi utadhani ni mdogo wake
Kuna namna ya kukosoa ila siyo kwa style aliyokuwa akitumia Lisu, ni kukosa hekima na adabu
Kama hujui basi ngoja tukuambie, hakuna Rais ambaye siyo dikteta na hakuna Rais ambaye hakuwahi kuua watu
Wapo Marais hapa hapa Tanzania wameua maelfu ya watu kwa makafala mbalimbali
Peleka huko ujinga wakoMkiambiwa nyie ni wakabila na hamfai kuongoza hii nchi tunajua tunamaanisha nini?
Iyo sensa ya polisi na jeshini ulifanya lini mpuuzi wewe?
Utumbo na uharo mtupu uliosema,mama yuko imara na ameishika nchi barabaraLeo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali!
Bila kumumunya maneno, wacha tuuseme ukweli ili kumsaidia Rais Samia popote alipo na ikibidi utafute njia ya kutokea.
Kwanza niweke wazi jambo moja kubwa na muhimu, kwa sasa Rais Samia amepoteza uungwaji mkono kutoka makundi yote muhimu ya kijamii na kisiasa, yaani umechokwa. Hili halina ubishi na halihitaji takafari yote yote kubwa.
Kitendo cha mama Samia kuja hadharani na kukiri kuwa 'wenzake wanamzunguka' hivyo hatakubali! Hapo tunaona picha kubwa moja tu, maji yamezidi unga na mama Samia anahitaji msaada ili avuke.
Sasa kuna jambo moja kubwa pekee linaloweza kumuokoa mama Samia mahali alipo, hana ujanja inabidi alikimbilie. Kwa ufupi, jambo hilo ni;
Kutafuta muafaka wa kitaifa ili kuweza kuiunganisha nchi iliyoparaganyika vibaya kisiasa. Kama Samia hataweza kukaa na kumaliza tofauti zake na kundi kubwa la wafuasi wa Magufuli (sukuma gang) au wapinzani (hususani Chadema) basi ajue hawezi kutoboa. Hayo ndio makundi yenye nguvu kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, na kwa sasa yote mawili kwa pamoja (pasipo kuongozwa na mtu yoyote) yanasema wazi wazi kuwa mama Samia hafai, hatoshei kwenye kiti cha urais na hayamtaki tena. Huo ni uasi wa kisiasa.
Wakati ukuta, na majuto ni mjukuu, wenye hekima wameshaelewa!
Katafute huko YouTubeEbu sema tusi gani alilitamka Lisu? Liandike hapa please.
Sikiliza we mkabila! Tanzania haiongozwi kikabila na Kama mmezoea ukabila kutokana na asili zenu za Burundi huko jueni tu Tanzania hamtofanikiwa.Peleka huko ujinga wako
Wanaofaa kuongoza ni hao midebwedo wala urojo?
Wewe jifunze kwanza kusoma na kuandikaKwa iyo na wewe unaemtukana Samia upigwe risasi?
Na ndio maana chuki haziwezi kuisha,badala ya kusonga mbele tunabaki kusuasua tu,na kuliana timing za kunyong'onyezanaHata masanja mkandamizaji kwenye hii nchi akigombea CCM anaweza kushinda........hamna jibwa uchaguzi ukifika,TISS,polisi,wanajeshi,walimu wote wanaisaidia CCM ibaki madarakani maana ndio ulaji wao ulipo
Huyo mama yako kaletwa hapa na Magufuli, bila Magufuli sisi tusingemfahamu huyo wala tusingewahi kuwa na Rais mwanamkeSikiliza we mkabila! Tanzania haiongozwi kikabila na Kama mmezoea ukabila kutokana na asili zenu za Burundi huko jueni tu Tanzania hamtofanikiwa.
Watanzania hatuangalii mtu anatoka wapi. As long as tunamuona anafaa kutuongoza, hatuna shida nae.
si uzitaje hizo character ass..Katafute huko YouTube
Badala ya kukosoa kistaarabu yeye alikuwa anafanya character assassination
Kiuhalisia huyo tembo hajafa kwa vile tarehe 31 Desemba 2021 bado haijafika.Copy and Written...
Tembo kapigwa risasi 31 December 2021 kafa January 2022 .
👉🏾 Swali tembo kauwawa mwaka gani?.
Hapo ndio unajivunjia heshima kabisa. Nani angeliishinda CCM 2020 ? Kwa upinzani uchwara huu. Endelea kujidanganya.Magufuli aliwanadi wabunge wa CCM kwa wananchi, kwani walishinda uchaguzi kwa kura? Ama Magufuli aliagiza watangazwe kibabe ili kuficha aibu ya kuikosesha CCM ushindi ilioutamani? Hamna cha ilani ya CCM bali uhuni mtupu.