Rais Samia usipende kila mara 'Kuingizwa Chaka' hivi bali shtuka mapema kwani unaniangusha sana tu

Nilidhani umeanza kuwa na Akili kidogo kumbe bado uko vile vile kama nilivyokujua huko awali?
 
Hebu njoo huku,kila dem tukikutana nao wananuka vikwapa
Vp hali ya maji jijini unasemaje
Lucas mwashambwa

Ova
Hali ya maji inaendelea kuimarishwa na kushughulikia na serikali hii ya mama Samia kwa nguvu zote licha ya Hali ya ukame inayoendelea, Nafikiri umeona mh Rais amezindua na kutoa magari yatakayochimba visima virefu vitakavyomaliza tatizo Hilo la maji linalowasumbia wananchi, Tuwe na Imani na serikali yetu na Tumwamini Rais wetu kwa kuwa ameonyesha dhamira njema na uzalendo mkubwa katika kuijenga nchi yetu
 
Sio waongo ni mafedhuri naona maza kuna issue nyingi anadanganywa tu halafu wajanja wanamkeep busy na ratiba nyingi akikaa ndani ya nchi siku tatu utaona siku ya tano anakua nje hiyo yote mafisadi wapate upenyo wa kupiga pesa kiulaini

Alooo.. Atapata tabu sana the coming election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…