Rais Samia: Usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu"

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 05, 2025 katika uzinduzi wa Kanisa la Arise & Shine chini ya Askofu Mwamposa, katika viwanja vya Kawe, Dar es Salaam.
 
20250616_225914.jpg
 
Kumbe kuna wanywa damu? Ni wakati wa kuwafahamu sara hao wanywa damu
 
"Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu"

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 05, 2025 katika uzinduzi wa Kanisa la Arise & Shine chini ya Askofu Mwamposa, katika viwanja vya Kawe, Dar es Salaam.
View attachment 3394972
kifo ni kifo, Lisu ana kosa gani? hofu iko wapi?
 
Back
Top Bottom