PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua kuunda wizara maalum ya kushughulikia masuala ya vijana

Ameongeza kwa kusema kuwa vijana wa Tanzania siyo wazalendo na hawana muelekeo na watu wa kuwaongoza hivyo wanatumwa na kuyumbishwa kwa mambo yasiyowahusu hivyo hawakuwa na sababu yoyote ya kuingia barabarani

 
Kumbe hayatuhusu, msikate Kodi zetu kwenye mihamala sasa
 
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Back
Top Bottom