Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine.

“Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei, nauli zitapanda bei kila kitu kitapanda, thamani ya kila kitu itapanda juu.

“Tumesikia minong’ono kuwa maisha yanakuwa magumu, ‘kila kitu kinapanda bei, wanasema ni hao viongozi wetu tulionao hawana baraka’.

"Si baraka ya kiongozi ni hali ya ulimwengu inavyokwenda,” amesema Rais Samia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, leo Machi 8, 2022.
 
Ni kweli kabisa.

Tayari unga wa maandazi bei juu!

Hapa ndipo tutaona uwezo wa " kiakili na kimaamuzi" wa waziri wa fedha Mwigullu Nchemba, vinginevyo safari yake ya urais itagikia ukingoni!
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine.

“Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei, nauli zitapanda bei kila kitu kitapanda, thamani ya kila kitu itapanda juu.

“Tumesikia minong’ono kuwa maisha yanakuwa magumu, ‘kila kitu kinapanda bei, wanasema ni hao viongozi wetu tulionao hawana baraka’.

"Si baraka ya kiongozi ni hali ya ulimwengu inavyokwenda,” amesema Rais Samia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, leo Machi 8, 2022.

Hii haimhusu Simba wa vita chazachaza za urusi
 
..Ni jukumu la serikali yake kuhakikisha Watz hatuathiriki na vita vya Ukraine na Urusi.

..Rais na wasaidizi wake wanalipwa mapesa mengi na kutunzwa kwa kodi zetu, kwa matarajio kwamba watakuja na mbinu na mikakati ya kuiepusha nchi na matatizo na changamoto mbalimbali.
 
..Ni jukumu la serikali yake kuhakikisha Watz hatuathiriki na vita vya Ukraine na Urusi.

..Raisi na wasaidizi wake wanalipwa mapesa mengi, na kutunzwa kwa kodi zetu, kwa matarajio kwamba watakuja na mbinu na mikakati ya kuiepusha nchi na matatizo na changamoto mbalimbali.
Mbinu za kufanya hivyo zipo, ni kukaa na wataalamu tu waone namna gani wanaweza kuwasaidia watanzania naa mfumuko wa Bei. Ila bahati mbaya sana nchi yetu hii chini ya hawa CCM hakuna kabisa wataalamu, wote kazi yao ni kuitikia tu wanasiasa.
Tutakoma
 
Back
Top Bottom