Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

You must be ignorant on economic issues you better shut your mouth. Hii sio siasa hapa ni hali ya kiuchumi inayosababishwa na vita, wewe hata hutazami TV au Redio (CNN, BBC nk.) unashangaza sana. Rais kasema uongo wapi huna maana kabisa.
Huyo anauza mbege Rau madukani!
 
Tatizo Wese huko duniani linapanda bei kila dakika.

Sioni waziri mwenye msuli wa kutunasua katika hili

..anatakiwa aje na mikakati ya kukabiliana na hali hiyo.

..yeye ndio Raisi wetu bila kujali bei ya wese imepanda au imeshuka.

..na mbona kipindi bei ya wese inaposhuka hatutangaziwi NEEMA?
 
Ukraine ni mzalishaji mkubwa wa ngano na alizeti, bila shaka bei ya unga wa ngano na mafuta ya kula itapanda kutokana na kushuka kwa uzalishaji.
 
You must be ignorant on economic issues you better shut your mouth. Hii sio siasa hapa ni hali ya kiuchumi inayosababishwa na vita, wewe hata hutazami TV au Redio (CNN, BBC nk.) unashangaza sana. Rais kasema uongo wapi huna maana kabisa.
Watanzania wanapenda kuambiwa propaganda za uongo kama kipindi kile cha awamu ya tano.
Hawapendi kiongozi anaesema ukweli.
 
Baada ya kisingizio cha Corona kuisha sasa ni Ukraine vs Russia!!

Inasikitisha
Rais anawaambia ukweli. Huu sio wakati wa kudanganywa kwamba sisi ni nchi tajiri. Hawa Warusi na Ukraine walijiandaa muda mrefu nyie mkiwa mmelala huku bei zikiendelea kupanda. Pia hatuna export yoyote ya maana. Viwanda 3000 vya yule waziri na mwendazake havijawahi kuwepo. Tumezoea kudanganywa. Tuupokee ukweli live.
 
Kashapata chaka la kujifichia ananata na biti tu baada ya corona sasa vita huyu maza atatuacha hoi
 
Kwahiyo na hii Tanzanite, Dhahabu, Watalii tutawapandishia bei? Safi sana hizo chenji tutakazopata tununue bidhaa za wakulima wetu ili mfumuko wa Bei ya Chakula usiwe mkubwa......

Huyu mama amekuwa mtu wa Propaganda na kupiga Siasa..., tunajikita kwenye kutafuta sababu badala ya masuluhisho ya matatizo yetu...
 
Hivi kweli ukiwa kwenye nafasi huwezi kujua kabisa ya mitaani?. Yaani vita vimeanza mwezi wa pili. Lakini watu wanalalamikia ugumu wa maisha tangu November mwaka jana. Leo mtu anadanganywa aseme hilo, nae anajitupia
 
Kukabiliana na hiyo hali na kupunguza Athari Rais ajae na mawaziri wote wake na mkakati wa kupunguza hiyo athari nini kifanyike kila Waziri ajibu wa kwanza ni Waziri mhusika wa nishati mhusika Tanesco sababu tuna gesi tuna majii ya Bwawa la Nyerere anajipangaje kupunguza gharama za uzalushaji viwandani nk?

Wa pili Waziri wa Fedha na taasisi zake kuanzia Mabenki,TRA nk

Kila wizara ije na mkakati ikae na wataalamu wake kutengeneza mitigation strategy ya nini kifanyike
 
You must be ignorant on economic issues you better shut your mouth. Hii sio siasa hapa ni hali ya kiuchumi inayosababishwa na vita, wewe hata hutazami TV au Redio (CNN, BBC nk.) unashangaza sana. Rais kasema uongo wapi huna maana kabisa.
Kauli ya rais imejaa kulalamika haijatoa mwelekeo serikali kukabiliana na hili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..anatakiwa aje na mikakati ya kukabiliana na hali hiyo.

..yeye ndio Raisi wetu bila kujali bei ya wese imepanda au imeshuka.

..na mbona kipindi bei ya wese inaposhuka hatutangaziwi NEEMA?
Kwani amekuambia hana solution?

Punguza nongwa bwashee!
 
Kabla ya Vita tatizo lilikua Freeman aikael mbowe Sasa katoka selo tatizo la bidhaa kupanda Bei ni Vita ya urusi ,tunahusikaje urusi ndo inatuletea bidhaa hapa bongo
 
Hahaaaa watu wamepata pa kutokea, ila story za kitoto ni heri kumsimulia mtoto
 
Back
Top Bottom