Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

Hakuna kitakachobadilika hata ufanyaje mkuu.
Kaa kimya kuficha ujinga.Hakuna kitu ambacho huwa kinabakia kama kilivyo milele.

Universe yenyewe inabadilika kila siku achilia mbali dunia ambayo mwisho wake wala haupo mbali kutokana na nishati inayozalisha nguvu za jua kuisha kwa kasi kubwa, sembuse Binadamu?Kaa kimya kuficha ujinga!
 
Kiukweli Watanzania ni watu wa ajabu sana Wakiambiwa ukweli wanalalamika na Wakidanganywa wanalalamika pia.

Kutokana na bei ya mafuta kupanda kwa kasi kwenye soko la dunia ni wazi bidhaa zote zitapanda bei ukiwemo nauli za mabasi.

Chanzo cha yote haya ni vita ya Russia na Ukraine, mnabisha nini?!

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiukweli Watanzania ni watu wa ajabu sana Wakiambiwa ukweli wanalalamika na Wakidanganywa wanalalamika pia...

Tuachane na ya Russia, sisi tuna jambo letu huku nyumbani Russia tutaridi baadae kidogo. Jo napenda kuutambulisha kwako mpango WA join the chain wa Chama pendwa Tanzania CHADEMA. Jinsi ya kuchangia tumia mpesa 0744446969.jina chadema HQ
 
Mpaka kufika 2030 watanzania wenye vipata vya chini tutakuwa tumechoka sana
 
Kaa kimya kuficha ujinga.Hakuna kitu ambacho huwa kinabakia kama kilivyo milele.

Universe yenyewe inabadilika kila siku achilia mbali dunia ambayo mwisho wake wala haupo mbali kutokana na nishati inayozalisha nguvu za jua kuisha kwa kasi kubwa, sembuse Binadamu?Kaa kimya kuficha ujinga!
Mkuu Mbowe ameufyata sasa wewe kenge nani atakusikiliza?
 
Tuko kwenye soko huria, kama mnaona wafanyabiashara wanafaidi sana kafanyeni na nyie biashara
 
Hauna uelewa wowote naww mkuu. Sasa kama unajua bei ya mafuta itapanda inatakiwa ufanyaje ili isipande??? Kama kweli wewe ni mwanauchumi jibu hili swali.
We have zero chance to regulate the price of Oil in the international market no chance at all. That is why our president should alert the Nation on what is coming. Tuache siasa kwenye vitu kama hivi. We do not have our own oil where do we get it?
 
JPM atakumbukwa milele,Nchi hii bila kupatikana Rais mzalendo wa kweli hamna kitu kitaenda kila mtu atapambana na hali yake mpk mvi zituote.

2025 mama tenaaaaaaa😆
JPM angezuia bei ya mafuta isipande kwenye soko la dunia? hebu tuache mapenzi yaliyopitiliza bana looh. After all era ilishapita tugange ya sasa. JPM is history already. Leta solution sio blames.
 
We have zero chance to regulate the price of Oil in the international market no chance at all. That is why our president should alert the Nation on what is coming. Tuache siasa kwenye vitu kama hivi. We do not have our own oil where do we get it?
Hivi zile kodi zilizomo ndani ya mafuta zikipunguzwa, unadhani haiwezi kubalance bei ya mafuta. Na mwenye mamlaka ya kutoa hizo kodi ni nani????
Nijibu hili swali kwa ufasaha.
 
Hivi zile kodi zilizomo ndani ya mafuta zikipunguzwa, unadhani haiwezi kubalance bei ya mafuta. Na mwenye mamlaka ya kutoa hizo kodi ni nani????
Nijibu hili swali kwa ufasaha.
You want to tell me hizo tozo au kodi zilizowekwa kwenye mafuta hazina kazi serikalini? It cannot be removed just like that? The answer is No. To remove or adjust any tax should be looked at carefully because the GOV cannot finance other important activities or services therefore, it is not easy as you might think madam.
 
Ile 100 TSH iliondolewa haikuondolewa? Na aliyeiondoa ni nani??
 
Bei ya mafuta inatengenezwa kwenye soko la dunia, Rais hawezi kufanya lolote labda kama unataka awadanganye kama watoto wadogo ili muweze kupata usingizi usiku. Na bei ya mafuta ikipanda, bei za kusafirisha bidhaa na vyakula zitapanda na kila mtu zitamgusa. Maana meli, ndege, malori, magari, mabasi yote yanatumia mafuta kufanya kazi.
Kwahiyo serikali yake imejipangaje juu ya hilo!? Coz hilo ni tatizo na yeye yupo pale ili kusolve ishu kama hizo zikitokea.

Sasa we unakuja kusema hapa sasa yeye atafanyaje kwelii?? Hao wachumi wanaolipwa na serikali wanalipwa kwasababu gani, ndo ishu ka izo tafuta soln ya kupunguza tatizo, kama raisi analialia ilhali anahudumiwa kila kitu vipi wakina kajamba nani??
 
Ivi hata washauriwake wanashindwa kumwambia kwamba nimapema mno kuanza kusingizia vita ya Urusi na Ukraine???, kweli!!!.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine.

“Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei, nauli zitapanda bei kila kitu kitapanda, thamani ya kila kitu itapanda juu.

“Tumesikia minong’ono kuwa maisha yanakuwa magumu, ‘kila kitu kinapanda bei, wanasema ni hao viongozi wetu tulionao hawana baraka’.

"Si baraka ya kiongozi ni hali ya ulimwengu inavyokwenda,” amesema Rais Samia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, leo Machi 8, 2022.
 
Back
Top Bottom