Weeee kijana tulia hivo hivo, Kenya saa hii kwenye social medius kuna trending hashtag ya #lowerfoodprices, vitu Kenya vimepanda sana bei asikwambie mtu, ila tofauti ya kenya na TZ ni sasa unaona wakenya wameanza kuchukua reaction ya kugomea bidhaa flani wanarudi kwenye masoko ya mtaani hali inayosababisha bidhaa flani hasa za food zisipande sana bei, na soon watu wataanza ku organise maandamano na wanawachana viongozi live, sasa hivi gas ya 6kg ni 1550 ksh, na before ilikua 850, ikapanda January to 1300, now ni 1550 na hapo hii ndio ya bei ndogo, zingine zimefika hadi 1700 per 6kg hali ni mbaya, mafuta yamepanda, bidhaa zote zimepanda bei hadi mayai, soon mtaskia jambo manake wakenya hawana mchezo, umeme tu kukatika bila maelezo yakutosha sku hiyo viongozi watakula matusi hadi wasiingie online. Kenya gharama ya maisha imepanda sana hasa kwa wanachi wa hali ya chini.
Sent from my vivo X6D using
JamiiForums mobile app