Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Imekuwa sasa jinyonge
Mimi sio mnyonge, wala sipo hapa kulialia…. I only bow to nature and God.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwa sasa jinyonge
Unaongonzwa na Mwanamke utake usitakeMimi sio mnyonge, wala sipo hapa kulialia…. I only bow to nature and God.
Bei ya mafuta inatengenezwa kwenye soko la dunia, Rais hawezi kufanya lolote labda kama unataka awadanganye kama watoto wadogo ili muweze kupata usingizi usiku. Na bei ya mafuta ikipanda, bei za kusafirisha bidhaa na vyakula zitapanda na kila mtu zitamgusa. Maana meli, ndege, malori, magari, mabasi yote yanatumia mafuta kufanya kazi.
Umeelewa kweli? It is clear ,Duniani kote bei za vitu zilianza kupanda soon uchumi ulipofunguka kwa sababu za covid 19.Bidhaa zimeanza kupanda bei wiki Feb 2022? ....au basii.
Kwani mfumuko wa bei ya mafuta upo Tanzania tuu? Hao Marais wengine mbona nao wameshindwa kuuhami uchumi wao?..hii sio mara ya kwanza vita kutokea na kusababisha bei ya mafuta ktk soko la dunia kupanda.
..Na Rais SSH sio mgeni ktk masuala ya uchumi uongozi, na utawala.
..Kwa msingi huo, Raisi na watendaji wake, walitakiwa kuwa wameandaa mpango wa namna ya kuuhami uchumi wetu usiathirike na kupanda kwa bei ya mafuta kutokana na mgogoro wa Urusi vs Ukraine.
..Rais alitakiwa atueleze hatua ambazo serikali yake inachukua, na sio kutulalamikia.
Nadhani wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho, yaani ulitaka usiambiwe ukweli au? Ujue hueleweki.Rais mzima anaropoka bila haya wala aibu eti bidhaa zitapanda bei,anamwambia nani na ili iweje? ni sifa hiyo anaona au kisa yeye hajui kuacgha hela ya matumizi mezani anaona linalokuja tu mdomoni analitoa?
Mi sijui hata nani alishaurigi huyu maza awe makamu wa Rais yani simuoni hata kama anauweza uongozi kwa level ya Mkuu wa Wilaya simuoni kabisaaaa..
Wamkataze kuropoka ropoka maana hajui kipi chakuongea public kipi chakuongea ndani,Kama ni kulambishwa galasa hapa Tanzania tumelambishwa.
Ukisema Kadi 1, unatandikwa na Joker unalamba 5 nyingine....
Tena Hali hii ilianza toka mwaka Jana,All over the world,la Vita vita limekuja kuchochea zaidi..Kwani mfumuko wa bei ya mafuta upo Tanzania tuu? Hao Marais wengine mbona nao wameshindwa kuuhami uchumi wao?
Hakuna kitakachobadilika hata ufanyaje mkuu.Taifa ambalo linakubali kuwepo bila Rais kama Tanzania lina laana.
Imagine nchi ina Rais hewa ambae muda wote yupo busy kutafuta chaka la kuficha uzembe,mauchafu pamoja na madhaifu ya Serikali yake.Hangaya is the inept hopeless leader.
Mikakati ipo Sana tuu ndio maana walifuta tozo ya sh.100 kwenye mafuta...anatakiwa aje na mikakati ya kukabiliana na hali hiyo.
..yeye ndio Raisi wetu bila kujali bei ya wese imepanda au imeshuka.
..na mbona kipindi bei ya wese inaposhuka hatutangaziwi NEEMA?
Kwani mfumuko wa bei ya mafuta upo Tanzania tuu? Hao Marais wengine mbona nao wameshindwa kuuhami uchumi wao?
Tueleze hatua mojawapo waliyoeleza kuchukua...wameeleza hatua watakazochukua.
..viongozi wa Tz wameishia kulalamika tu.
Kujitegemea kila kitu haiwezekani hapa Duniani.Kuna ukweli na kuna kujidanganya ili kujifariji. Ukweli ikiwa USA mafuta yamepanda kwa 35% sisi ni nani yasipande? Njia rahisi ya kutotaka vitu vipande ni sisi kujitegemea kila kitu ili tujipangie ila kama bado tunaagiza nje tutegemee mengi tu. Vita ya Kagera tu ilipandisha sukari kutoka 5/= hadi 20/= hivyo tuna hiyari ya kutambua vita hiyo ya Ukraine ni funzo kwetu kuhusu kuwa na viwanda vyetu na si nyimbo majukwaani na kwenye pads.
Mikakati ipo Sana tuu ndio maana walifuta tozo ya sh.100 kwenye mafuta.
Pia kuna mikakati kama hii hapa 👇
View attachment 2143630
View attachment 2143631
Nachompendea Samia Hana mda wa kufurahisha watu wajinga kwa kuwafariji kwa uongo,anawachana live.Na Russia amesema anakata gesi kabisa.
Binafsi naona hizo mnazoita solution ni provisional tu, bora huyu ansyetuandaa kisaikolojia!
Tueleze hatua mojawapo waliyoeleza kuchukua.
Na wewe utakuwa mwehu,bei lazima zitapanda,hatua zinazoqeza kuchukuliwa ni za kupunguza makali tuu...safi sana.
..hatutaki visingizio.
..hakuna vita ktk ardhi ya Tz hivyo hatutaki kusikia bei zimepanda shauri ya vita.
Wewe utakuwa ni Zuzu na njaa kali.Rais mzima anaropoka bila haya wala aibu eti bidhaa zitapanda bei,anamwambia nani na ili iweje? ni sifa hiyo anaona au kisa yeye hajui kuacgha hela ya matumizi mezani anaona linalokuja tu mdomoni analitoa?
Mi sijui hata nani alishaurigi huyu maza awe makamu wa Rais yani simuoni hata kama anauweza uongozi kwa level ya Mkuu wa Wilaya simuoni kabisaaaa..
Wamkataze kuropoka ropoka maana hajui kipi chakuongea public kipi chakuongea ndani,Kama ni kulambishwa galasa hapa Tanzania tumelambishwa.
Ukisema Kadi 1, unatandikwa na Joker unalamba 5 nyingine....