Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

𝐒𝐢𝐤𝐮 𝐳𝐚 𝐦𝐰𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐡𝐢𝐳𝐢
 
Kwenye matatizo ya dunia kila mtu anabidi apambane vita kivyake kuokoa watu wake na nchi yake na athari

Magufuli alipoona Corona Tatizo la dunia alitafuta solution yake ya maombi na kujifukizia alichekwa alidharauliwa lakini watanzania wengi tulivuka salama kwa maombi na kujifukiza

Sasa hilo limekuja Serikali ya Mama Samia kazi kwenu kwani kila nchi itakuwa ikihangaika kunusuru watu wao na hizo athari hakuna atakayekuwa na muda na Raisi wa nchi nyingine

Hapa ndio kilimo kikuu cha wataalamu ns warumi wa Serikali ya mama Samia kuja na mkakati wa kuokoa nchi ambao ni home grown

Magufuli alikuwa na mkakati wa kujifukiza na maombi .Mpira kwako mama Samia zigo hilo mgongoni kwako

Wale waomba pambio nano kama Msma Samia zigo hilo kazi kwenu athari hizo anakuja mna solution gani?
 
Hapo ujue hamna kitu! Bora liende!
kwa huyo kipindi watu tunalalamika kuhusu kupanda kwa bei toka mwaka jana wewe mheshimiwa Hangaya hukuwepo nchini?.Naona umerudi kipindi cha vita ya urusi na ukraini.Tafadhali usihamasishe wafanya biashara kupandisha bei kwa raia unaowaongoza,unatakiwa wewe ndio usimame na raia wako kwa upande wa upandaji wa bei.
 
Hata EU na USA hawajaeleza chochote kuhusu solution, wanaelezea tatizo tu.

Usimwage mtama kwenye kuku wengi!
Sio kweli USA wametoa mamilioni ya mapipa ya mafuta kutoka oil reserves zilizoko Texas kuziingiza sokoni kupunguza makali ya bei

Ulaya wanasema watatoa ruzuku kwenye gesi kupunguza makali ya bei kwa watumiaji wa gesi
 
Anakwepa uwajibikaji wafanyabiashara wamemzidi mbinu ameona adanganye vita ya Urusi
Kuna ukweli na kuna kujidanganya ili kujifariji. Ukweli ikiwa USA mafuta yamepanda kwa 35% sisi ni nani yasipande? Njia rahisi ya kutotaka vitu vipande ni sisi kujitegemea kila kitu ili tujipangie ila kama bado tunaagiza nje tutegemee mengi tu. Vita ya Kagera tu ilipandisha sukari kutoka 5/= hadi 20/= hivyo tuna hiyari ya kutambua vita hiyo ya Ukraine ni funzo kwetu kuhusu kuwa na viwanda vyetu na si nyimbo majukwaani na kwenye pads.
 
Sio kweli USA wametoa mamilioni ya mapipa ya mafuta kutoka oil reserves zilizoko Texas kuziingiza sokoni kupunguza makali ya bei

Ulaya wanasema watatoa ruzuku kwenye gesi kupunguza makali ya bei kwa watumiaji wa gesi
Na Russia amesema anakata gesi kabisa.

Binafsi naona hizo mnazoita solution ni provisional tu, bora huyu ansyetuandaa kisaikolojia!
 
Back
Top Bottom