Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kaa kimya kuficha ujinga.Hakuna kitu ambacho huwa kinabakia kama kilivyo milele.Hakuna kitakachobadilika hata ufanyaje mkuu.
Mapungufu yanayoliangamiza Taifa hayapaswi kuvumiliwa.She must step down now.Hakuna binadamu asiye na mapungufu.
Kiukweli Watanzania ni watu wa ajabu sana Wakiambiwa ukweli wanalalamika na Wakidanganywa wanalalamika pia...
Mkuu Mbowe ameufyata sasa wewe kenge nani atakusikiliza?Kaa kimya kuficha ujinga.Hakuna kitu ambacho huwa kinabakia kama kilivyo milele.
Universe yenyewe inabadilika kila siku achilia mbali dunia ambayo mwisho wake wala haupo mbali kutokana na nishati inayozalisha nguvu za jua kuisha kwa kasi kubwa, sembuse Binadamu?Kaa kimya kuficha ujinga!
We have zero chance to regulate the price of Oil in the international market no chance at all. That is why our president should alert the Nation on what is coming. Tuache siasa kwenye vitu kama hivi. We do not have our own oil where do we get it?Hauna uelewa wowote naww mkuu. Sasa kama unajua bei ya mafuta itapanda inatakiwa ufanyaje ili isipande??? Kama kweli wewe ni mwanauchumi jibu hili swali.
JPM angezuia bei ya mafuta isipande kwenye soko la dunia? hebu tuache mapenzi yaliyopitiliza bana looh. After all era ilishapita tugange ya sasa. JPM is history already. Leta solution sio blames.JPM atakumbukwa milele,Nchi hii bila kupatikana Rais mzalendo wa kweli hamna kitu kitaenda kila mtu atapambana na hali yake mpk mvi zituote.
2025 mama tenaaaaaaa😆
Hivi zile kodi zilizomo ndani ya mafuta zikipunguzwa, unadhani haiwezi kubalance bei ya mafuta. Na mwenye mamlaka ya kutoa hizo kodi ni nani????We have zero chance to regulate the price of Oil in the international market no chance at all. That is why our president should alert the Nation on what is coming. Tuache siasa kwenye vitu kama hivi. We do not have our own oil where do we get it?
You want to tell me hizo tozo au kodi zilizowekwa kwenye mafuta hazina kazi serikalini? It cannot be removed just like that? The answer is No. To remove or adjust any tax should be looked at carefully because the GOV cannot finance other important activities or services therefore, it is not easy as you might think madam.Hivi zile kodi zilizomo ndani ya mafuta zikipunguzwa, unadhani haiwezi kubalance bei ya mafuta. Na mwenye mamlaka ya kutoa hizo kodi ni nani????
Nijibu hili swali kwa ufasaha.
Ile 100 TSH iliondolewa haikuondolewa? Na aliyeiondoa ni nani??You want to tell me hizo tozo au kodi zilizowekwa kwenye mafuta hazina kazi serikalini? It cannot be removed just like that? The answer is No. To remove or adjust any tax should be looked at carefully because the GOV cannot finance other important activities or services therefore, it is not easy as you might think madam.
Kwahiyo serikali yake imejipangaje juu ya hilo!? Coz hilo ni tatizo na yeye yupo pale ili kusolve ishu kama hizo zikitokea.Bei ya mafuta inatengenezwa kwenye soko la dunia, Rais hawezi kufanya lolote labda kama unataka awadanganye kama watoto wadogo ili muweze kupata usingizi usiku. Na bei ya mafuta ikipanda, bei za kusafirisha bidhaa na vyakula zitapanda na kila mtu zitamgusa. Maana meli, ndege, malori, magari, mabasi yote yanatumia mafuta kufanya kazi.
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine.
“Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei, nauli zitapanda bei kila kitu kitapanda, thamani ya kila kitu itapanda juu.
“Tumesikia minong’ono kuwa maisha yanakuwa magumu, ‘kila kitu kinapanda bei, wanasema ni hao viongozi wetu tulionao hawana baraka’.
"Si baraka ya kiongozi ni hali ya ulimwengu inavyokwenda,” amesema Rais Samia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, leo Machi 8, 2022.