Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Hali si shwari kwa vijana,maana mpaka bi mkubwa naye kagundua,ni bora sasa ufanyike utafiti maana hii ni aibu kwa hiki kizazi...
 
Wewe hajawahi kusikia habari za mkongo na pweza!? Hata Mimi siujui ila nimeusikia
Kwa msisitizo huo wa maza huenda hayo yanafanyika kwa ukaribu akiona🤣
 
giphy.gif
 
Tanzania ina idadi ya kutosha ya watu, kuzidi kuongeza watoto ni mzigo mkubwa zaidi.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ni Kweli kabisa

Kizazi cha Ufipa Energy na Mo Energy
Kabisa vijana wengi wa kiume kwa sasa bila booster ya kuongezea nguvu vitandani wako hoi

Kuna Tatizo.lingine kubwa kijamii limeibuka wasichana baadhi wadogo wengi hawataki vijana kabisa wanataka wanaume wazee wanasema vijana hawawatoshelezi vitandani!!

Inatisha kuna Afisa ustawi wa Jamii aliniambia hadi nywele nikaona zinasisimka.Nikauliza mara mbili mbili what? Mama Samia yuko sahihi.Vijana wa sasa kisheria duni wanataka English Figure ambayo hai demand wale sana lakini wanasau kuwa unatakiwachakula cha kuleta nguvu mwilini kitandani ambacho of course sio chips mayai!! Unatakiwa mlo hasa wa kisukuma na kikurya kuufanya mwili uwe fit sio kwa muonekano tu.wa nje bali kwenye interview kitandani!! Nadhani nimeeleweka!!

Vijana wa sasa baadhi wengi bila booster hamna kitu kitandani!! Mama kasema ukweli
 
Hii hii taasisi, imekosa ya kuzungumza hadi...............

Kwanini wasingeongea wasaidizi wake kwenye wizara ya afya
 
Haah, kumbe mkuu wetu anajua mambo mengi aisee! Lakini namuomba ajihadhari na habari za mitaani/vijiweni/ mitandaoni zisije kumpotosha.
 
Hakuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ni watu tu wametumia ujinga na upumbavu wa wajinga na wapumbavu kuwahadaa na kisha kuwapiga pesa.
 

Supu ya Pweza ni chakula. Vumbi la Mkongo ni matokeo ya watu kutazama sana video za ngono na mwisho wa siku kutaka kufanya yale wanayofanya mule na wanasahau yale ni maigizo yanayopangwa.
 
Back
Top Bottom