Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Chezea mkongo wewe?🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu Arusha wana Mkongoraa kwahiyo tusiwaseme Wanaume wa Dar peke yao hata wa Arusha

Sijui huko Mwanza kama na wao ni Wazee wa kuboost😁
 
Halafu Arusha wana Mkongoraa kwahiyo tusiwaseme Wanaume wa Dar peke yao hata wa Arusha

Sijui huko Mwanza kama na wao ni Wazee wa kuboost😁
I dont think kuwa mkongoraa una maajabu ni uzushi tu.
Mimi huwa nautafuna kwa kupenda ule ukakasi flani.

Nimeujaribu kama mara 3 sikuhisi chochote tofauti na nilivyo.

Mwanaume kutumia booster kutakuondolea kujiamini usipokuwa na hiyo booster
 
Back
Top Bottom