mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Fortify= Kuongeza virutubisho adimu kwenye vyakula au vitu vya vyakula. Chumvi imeongezwa iodine na tatizo la utaahira unaotokana na ukosefu wa Iodine limetokomezwa!... ndio tunaelekea kwenye genetically modified foods au?
Vile vile Mafuta/siagi imeongezwa vitamin A na D.
Siyo jambo baya! Ni tofauti na GMOs!