Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni.

Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips mtaani.

Ameshauri utafiti makini uweze kufanyika ili kubaini chanzo halisi cha tatizo hili pamoja na kuongeza kasi ya kufanyia fortification mazao na vyakula hadi ngazi za chini kabisa nchini ili watu wapate lishe bora.

Ameyasema hayo wakati akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma
Mama anawaasa vijana wale mlo kamili ili wawe na afya bora maana vijana siku izi tunajisahau sana aisee hatujari afya
 
Nina jamaa angu mmoja kweli anazo pesa ila ulaji wake siyo mzuri kabsa anapenda Sana kula chips usku .jus aliachna na demu ake ,demu ake akaniambia hv kwannn rfk ako anaachwa Mara kwa Mara ajiulize Kuna tatizo gani nikaona kbsa mtot ajapewa show show nzuri badal Yale anaguzwa guzwa tu nakuachiwa na genya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mkuu vitu vingine lazima ufanye ndio ujue hiv nikuuliza umejuaje wakinadada wanafanywa nyuma ungesemaje?
Ukiwafwata wanasema wenyewe wanafanya, na dau lake nitofauti na mbele.

Unakingine mkuu?
 
Hii hii taasisi, imekosa ya kuzungumza hadi...............

Kwanini wasingeongea wasaidizi wake kwenye wizara ya afya
Raisi Yuko sahihi

Ukiona kitu kaongea Raisi ujue kiko serious beyond watu wa chini
Sasa hivi mitoto mingi inazaliwa akili Haina sababu wazazi hawali vyakula vya kueleweka wanakula vi chips mayai !! ambavyo havijengi nguvu mwilini ikiwemo Sperms za kuzalisha watoto wa kiume za X zinazozalisha Watoto wa kiume Sperms weak za wanazalisha tu Sperms za Y zinayozalisha watoto wa kike tu!! Ndio maana sasa hivi population ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume!! Shauri ya kula vyakula legelege kama chips mayai nk

Zamani wanaume mfano wa upareni na makabila mengine wanakula kande tena sio za kukoboa na dona na nyama choma kilimanjaro nk na ugali wa mahindi,mtama au ngano nk mikoa kibao ilikuwa sio rahisi kukuta mwanamke au mwanaume asiyezaa au asiye na nguvu kitandani kwenye mapenzi

Sasa hivi Tatizo la kukosa nguvu za kike na kiume kubwa kwenye nguvu za mapenzi kitandani kubwa kwa vijana wa kike na kiume tofauti na wa zamani ambao walikuwa hawaendkezi Lula chips mayai!! Na kudharau ugali wa dona,ugali wa mtama,nyama Chona ,kande nk za mababu zetu

Simba ana nguvu sababu mojawapo hula nyama!!

Makabila yanayokula nyama,ugali wa mahindi ,au mtama au ngano yana akili Sana na nguvu kama simba mla nyama kwenye Mapenzi wawe wachaga ,wamasai nk wana nguvu mno kuliko wasusia hivyo kwa kisingizio sijui cha cholesterol nk vitandani wakienda nguvu hawana wako kama kuku joto la mdondo!!

Na makabila mala ugali sana na ngano wawe wasukuma nk wana uzazi mkubwa mno

Sperms zao ziko very strong na wanatoa mitoto strong na yenye akili

Mikoa hiyo Haina Tatizo kubwa la uzazi sababu vyakula vya kuleta nguvu mwilini kikiwa chakula kimojawapo wanathamini sana!!
 
Kwani ripoti ya sensa ya tarehe 23/8 imeshatoka.kama report inaonyesha idadi yetu ni ndogo itabidi wanaume tukae kikao.mimi naamini clinic huwa zinajaa kwa kazi nzuri tunayoifanya.Hayo mengine yakulima mda mrefu juu ya vifua vya hawa wenzetu ilo linahitaji utafiti mkubwa kwasababu kila jinsia inatakiwa ihusike kwasababu wanawake wenyewe wakukufanya ulime hivyo wako wapi kwa maisha haya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
ikiwemo Sperms za kuzalisha watoto wa kiume za X zinazozalisha Watoto wa kiume Sperms weak za wanazalisha tu Sperms za Y zinayozalisha watoto wa kike tu!! Ndio
Unaongea kinyume nyume
 
Raisi Yuko sahihi

Ukiona kitu kaongea Raisi ujue kiko serious beyond watu wa chini
Sasa hivi mitoto mingi inazaliwa akili Haina sababu wazazi hawali vyakula vya kueleweka wanakula vi chips mayai !! ambavyo havijengi nguvu mwilini ikiwemo Sperms za kuzalisha watoto wa kiume za X zinazozalisha Watoto wa kiume Sperms weak za wanazalisha tu Sperms za Y zinayozalisha watoto wa kike tu!! Ndio maana sasa hivi population ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume!! Shauri ya kula vyakula legelege kama chips mayai nk

Zamani wanaume mfano wa upareni na makabila mengine wanakula kande tena sio za kukoboa na dona na nyama choma kilimanjaro nk na ugali wa mahindi,mtama au ngano nk mikoa kibao ilikuwa sio rahisi kukuta mwanamke au mwanaume asiyezaa au asiye na nguvu kitandani kwenye mapenzi

Sasa hivi Tatizo la kukosa nguvu za kike na kiume kubwa kwenye nguvu za mapenzi kitandani kubwa kwa vijana wa kike na kiume tofauti na wa zamani ambao walikuwa hawaendkezi Lula chips mayai!! Na kudharau ugali wa dona,ugali wa mtama,nyama Chona ,kande nk za mababu zetu

Simba ana nguvu sababu mojawapo hula nyama!!

Makabila yanayokula nyama,ugali wa mahindi ,au mtama au ngano yana akili Sana na nguvu kama simba mla nyama kwenye Mapenzi wawe wachaga ,wamasai nk wana nguvu mno kuliko wasusia hivyo kwa kisingizio sijui cha cholesterol nk vitandani wakienda nguvu hawana wako kama kuku joto la mdondo!!

Na makabila mala ugali sana na ngano wawe wasukuma nk wana uzazi mkubwa mno

Sperms zao ziko very strong na wanatoa mitoto strong na yenye akili

Mikoa hiyo Haina Tatizo kubwa la uzazi sababu vyakula vya kuleta nguvu mwilini kikiwa chakula kimojawapo wanathamini sana!!
Kuna nchi hazili hivyo vyakula vyako ulivyovitaja na wametuzidi kila kitu kuanzia idadi ya watu hadi akili.Tuache kutafuta visingizio kwenye chips wakati ata hao wazee wa zamani hakuna kikubwa walichokifanya tofauti na sasa.Mabadiliko ya dunia na maisha kwa ujumla yamebadilika kwahiyo hali za maisha haziwezi kua sawa kwenye kila kitu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukiwafwata wanasema wenyewe wanafanya, na dau lake nitofauti na mbele.

Unakingine mkuu?
Kiufupi wajitangaza hata kwenye instagram utawakuta na matangazo yao Mama Samia nae ni mtu ambaye pia anaingia kwenye social network anaona na tatizo la nguvu lakiume sio siri mpaka kuna madaktari na waganga wanatangaza kuwa wanadawa zao wapo pia wanawake wanajitokeza kusema Wanaume zao Wana tatizo la nguvu za kiume kwahiyo sio jambo la kushangaa eti kwanini Raisi kajua
 
😅😅😅

Tunashangazwa
 
Kuna nchi hazili hivyo vyakula vyako ulivyovitaja na wametuzidi kila kitu kuanzia idadi ya watu hadi akili.Tuache kutafuta visingizio kwenye chips wakati ata hao wazee wa zamani hakuna kikubwa walichokifanya tofauti na sasa.Mabadiliko ya dunia na maisha kwa ujumla yamebadilika kwahiyo hali za maisha haziwezi kua sawa kwenye kila kitu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Vizazi hawana iwe Marekani au Canada au Ulaya sababu hawali vyakula kama hivyo vyetu population yao haiongezeki kwa spidi inashuka badala ya kupanda Vijana wao wa kiume na kike vizazi hawana.Hawana nguvu za kuzalisha kiumbe !! Sawa waliopo.wanz akili walipo hao wasio na kizazi future replacement yao iko wapiwKizeeka au kufa? Ya generation yao ya wenye akili wakati wafa au kuzeeka bila kuacha legacy yenye watoto? Waliowazaa ku carry over akili zao? Through DNA zao za sperms
 
Sijajua hizo nguvu za kiume mnataka za namna gani ....

Maana mtu anaweza kuwa anazalisha lakin akaambiwa Hana nguvu za kiume kisa hawezi kupeleka moto sana ndani ya dakika 40 .....!

Kama ukuni unasimama na kuchomekwa vzuri ,Mambo ya kukaaa dakika 60 kwa bed ni chaguo la mtu Sasa ...

Sasa raisi anataka watu wawe wanapeleka moto mkali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom