PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siyo mpaka tu tufunge na anga letu ikiwezekana tutumie iron dome ya israeli.
Iwe mafuruku kupeleka kenya mchicha, mahindi, machungwa, sukuma wiki etc tuone kama watakula kiinglishi chao
Hata msipopeleka Mahindi, Machungwa na Sukuma, Kenya watakuwa na alternative na wakulima wetu kukosa soko itashusha uchumi wetu. Unamtishia nani? Sisi ndiyo losers wala si wao, bei ya mahindi itashuka na tutakosa kuuza mahindi na mazao ya chakula kwa bei nzuri. Fikiria kabla hujaongea.Uganda watapeleka mazao yao Kenya, tutauza mazao yetu ndani ya nchi kwa bei ya chini. Hatuwezi Trade wars, mnajidanganya.
 
Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.

Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.

Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?

Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?

Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)

Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.

Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.

Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?

La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?

Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?

Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.

Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.

Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.

Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.

Nawasilisha
Huu ndio uzendo wetu
P
 
Haya yote yamesababishwa na waziri wa mambo ya ndani kuwatuma Polisiccm wawabambikie kesi za uongo chadema na sasa hawataki jumuia za kimataifa waje mahakamani kusikiliza ukweli, yale maovu uonevu waliozoea kuwafanyia chadema wamewafanyia wakenya wakadhani wakenya ni kama Tanzania ukifanyiwa unyama unanyamaza, Angalia Aibu kubwa mama
 
Kuna vikundi vya hovyo huko ccm vinafanya mambo ya hovyo kwa kudhani vinawakoa chadema kumbe vinazidi kuichafua nchi
 
Haya yote yamesababishwa na waziri wa mambo ya ndani kuwatuma Polisiccm wawabambikie kesi za uongo chadema na sasa hawataki jumuia za kimataifa waje mahakamani kusikiliza ukweli, yale maovu uonevu waliozoea kuwafanyia chadema wamewafanyia wakenya wakadhani wakenya ni kama Tanzania ukifanyiwa unyama unanyamaza, Angalia Aibu kubwa mama
wamesema ukweli mtupu.
 
Yote haya yanatokea kwa sababu ya uonevu wa Polisiccm ni mda wa Polisiccm kujitathini utendaji wao
 
Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.

Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.

Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?

Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?

Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)

Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.

Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.

Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?

La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?

Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?

Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.

Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.

Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.

Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.

Nawasilisha

..chawa wako wapi kumtetea Mama yao, chama chao, na serikali?
 
tunawakalibisha kwa mikono miwili waje watoe mkongoto kwa jeshi letu na polisi wetu tumewachoka sisi
 
Kwani Rais wale chawa wake hawawezi kupigana na Gen z wa kenya??. Tupo nyuma ya kenya.
 
Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.

Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.

Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?

Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?

Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)

Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.

Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.

Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?

La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?

Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?

Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.

Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.

Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.

Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.

Nawasilisha
Kanusha habari zao
 
Mbwa anabweka huku kakaa mlangoni kwao yanini ujisumbue naye? Acha abweke. Ila siku akibweka kwenye uwanja wa nyumba yako ndio atajua nguvu ya mwenye nyumba.
 
Kwa mambo yalivyo sasa hata nchi ikivamiwa na adui nauhakika wananchi watasaidia wavamizi...
Atleast viongoz wangekua wanatutendea mema tungekua na nguvu hata za kuwatetea..
Sasa wao wanaharibu nyumbani unadhan nani atahangaika kuonesha uzalendo wakati hawatujalii.. mi naomba mungu tusipate vita yeyote maana uwiiiiiiiiii
 
Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.

Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.

Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?

Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?

Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)

Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.

Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.

Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?

La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?

Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?

Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.

Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.

Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.

Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.

Nawasilisha
Washauri wa mama wajitafakari kwani wao ndiyo humshauri mama kuwatuma Polisiccm kuwanyanyasa watu
 
Back
Top Bottom