PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hili Mlibebe kama lilivyo, Najua mnajua, Mifumo yenu Iko na Mianya mingi .

Mashambulizi yoyote ya Kimtandao kwenye Taasisi za Afya, mfano, Muhimbili, MOI , Viwanja vya Ndege , Bandari ya Dar , Ma Bank , hata Kwa Masaa mawili , Taifa litakua limeingia Hasara ya Mabilioni kadhaa ya FEDHA..

Kwa hivo nitoe Rai, Waachieni, warudi nchini Kwao.

Kama mnajidangamya Mna Ma IT Uchwara Hawa wa UVCCM, Subírini kitakachowakuta !!
Wakenya sio wakazi wa bonyokwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haha hamia kwenu Kenya kaka

Mwaka huu ni kipigo tu
 
Hili Mlibebe kama lilivyo, Najua mnajua, Mifumo yenu Iko na Mianya mingi .

Mashambulizi yoyote ya Kimtandao kwenye Taasisi za Afya, mfano, Muhimbili, MOI , Viwanja vya Ndege , Bandari ya Dar , Ma Bank , hata Kwa Masaa mawili , Taifa litakua limeingia Hasara ya Mabilioni kadhaa ya FEDHA..

Kwa hivo nitoe Rai, Waachieni, warudi nchini Kwao.

Kama mnajidangamya Mna Ma IT Uchwara Hawa wa UVCCM, Subírini kitakachowakuta !!
Wakuu wote wa serikali wa usalama wa Taifa na majeshi wanakutana kigali Rwanda kupanga mikakati ya kivita ya pamoja kuwakabili hao wa mitandaoni mikutano yao ikiisha kitakachowakuta Mungu ndie ajuaye
 
Sawa ila elewa kuwa system ya ulinzi ya mitandao ya kijamii ni tofauti na za kwenye mashirika/taasisi.
 
Hili Mlibebe kama lilivyo, Najua mnajua, Mifumo yenu Iko na Mianya mingi .

Mashambulizi yoyote ya Kimtandao kwenye Taasisi za Afya, mfano, Muhimbili, MOI , Viwanja vya Ndege , Bandari ya Dar , Ma Bank , hata Kwa Masaa mawili , Taifa litakua limeingia Hasara ya Mabilioni kadhaa ya FEDHA..

Kwa hivo nitoe Rai, Waachieni, warudi nchini Kwao.

Kama mnajidangamya Mna Ma IT Uchwara Hawa wa UVCCM, Subírini kitakachowakuta !!
Sina uhakika na aliyefanya hacking, lakini hacking haikufanyika kwenye information za server, bali kwenye account za social media. Mtu akifanya hacking ya account ya facebook ya shirika la umma ambayo password yake inakuwa kwa afisa masoko, huwezi kusema TTCL imekuwa hacked
 
Hili Mlibebe kama lilivyo, Najua mnajua, Mifumo yenu Iko na Mianya mingi .

Mashambulizi yoyote ya Kimtandao kwenye Taasisi za Afya, mfano, Muhimbili, MOI , Viwanja vya Ndege , Bandari ya Dar , Ma Bank , hata Kwa Masaa mawili , Taifa litakua limeingia Hasara ya Mabilioni kadhaa ya FEDHA..

Kwa hivo nitoe Rai, Waachieni, warudi nchini Kwao.

Kama mnajidangamya Mna Ma IT Uchwara Hawa wa UVCCM, Subírini kitakachowakuta !!
Acha kututisha
 
dah! maisha yanabadilika sana,mzaha mzaha hutumbua usaha.
 
Hili Mlibebe kama lilivyo, Najua mnajua, Mifumo yenu Iko na Mianya mingi .

Mashambulizi yoyote ya Kimtandao kwenye Taasisi za Afya, mfano, Muhimbili, MOI , Viwanja vya Ndege , Bandari ya Dar , Ma Bank , hata Kwa Masaa mawili , Taifa litakua limeingia Hasara ya Mabilioni kadhaa ya FEDHA..

Kwa hivo nitoe Rai, Waachieni, warudi nchini Kwao.

Kama mnajidangamya Mna Ma IT Uchwara Hawa wa UVCCM, Subírini kitakachowakuta !!
Wewe?
 
labda wewe watakusikiliza!

wakenya wametuach ambali sana kwenye kila kitu!
 
Wazee wa bando la Nairobi mnafanya retirement kwa bwana zenu
 
Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.

Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.

Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?

Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?

Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)

Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.

Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.

Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?

La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?

Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?

Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.

Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.

Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.

Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.

Nawasilisha
 
Tungekuwa wamoja mbona hilo ni swala dogo sana, lakini ndiyo hivyo tena acha waliyoshinda kwa asilimia 99 wakatutetee
 
Back
Top Bottom