PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Samahani mkuu...
Umemaanisha rais wa fifa ama wasafi...🤔
Ebu ongeza sauti na tuliokaa huku mwishoni tusikie....🙄
raisi wa 5imba!

SI umeona leo chaneli yao yutube kulikuw ana tangazo lake?
 
Hawa watu wamechoka akili.
Hata akili ya kutofautisha masuala ya kesi mahakamani na uanaharakati hawana.
 
Wanaomzunguka wanamuogopesha ili atoe hela zaidi wazibunye.

Si umesikia kuna kijamaa kipo masaki kinakula bata na ulinzi juu kisa eti ki kesi cha akidi alichowapa CDM
 
Form four failure yule mkuu, usitarajie maajabu kutoka kwake...na kwakuwa hadhira inayomzunguka kula kwao kunamtegemea yeye basi hata akitapika mashudu ni mwendo wa makofi tuu pa papa paaapaaaa!.
 
Kumbe 2020 kulikuwa kuna uchaguzi! Dah! Ndiyo nasikia kwako.
Sasa wewe si ni nyumbu huwezi jua kama kulikuwa na uchaguzi. Pia October 2025 hujui kama kuna uchaguzi, unapelekeshwa tu na Mhaini Lissu kama nyumbu eti No reforms no election!! 🤣🤣
 
Kuna aneharibu Tanzania zaidi ya Samia na kikundi chake?

Wanalazimisha Lugumi awauzie silaha JWTZ ili wapige madili yao ya fedha wakati Lugumi amewekwa mkononi na former Miss Rwanda ambaye ni Jasusi namba moja wa Kagame.

Saivi JWTZ wananyanyaswa na Rwanda just because wanajua aina zote za silaha tulizonazo na haya yote kwa sababu ya Rais , mtoto wake na kikundi chake kutaka kufaidka kwa mgongo wa fedha za malipakodi masikini wa Tanzania.
 
Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.

"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.

Pia soma
No nonsense,hakuna kucheka na kima 😆😆👇👇

View: https://x.com/mkainerugaba/status/1924805956266807712?t=6SHkshGaN8EE7GXFLHQQXA&s=19
 
Hivi karibuni tumeshuhudia wanasheria kutoka Kenya!! Kuja kuhudhuria keshi ya wanasiasa nchini !!

Je? Huu ni utaratubu wa wapi ?? Tumekosa wanasheria ama tukiwasikiliza wao ndio tutapata haki? Kila nchi ina utaratibu wake ..

Nalipongeza kwa dhati jeshi la polisi ..hii ni nchi sio genge la uchochezi kwa manufaa ya wana siasa!! Hata chooni mtu anabisha hodi??
 
Hivi karibuni tumeshuhudia wanasheria kutoka Kenya!! Kuja kuhudhuria keshi ya wanasiasa nchini !!
Je?? Huu ni utaratubu wa wapi ?? Tumekosq wanasheria ama tukiwasikiliza wao ndio tutapata haki?? Kila nchi ina utaratibu wake ..nalipongeza kwa dhati jeshi la polisi ..hii ni nchi sio genge la uchochezi kwa manufaa ya wana siasa!! Hata chooni mtu anabisha hodi??
Ndio umeandika nini?
 
hii kama aliyetaka kukujibu hupo sehemu moja au account unazo zaidi ya mbili
Wakenya wenyewe wanashangaa
mbona kama mlikuwa na kikao ccm alafu umejibu na umetoa hoja kama mwenzako ajatuma wa ccm hapo ofisini.
kweli tz kudukuliwa ni rahisi sana
 
Sasa wewe si ni nyumbu huwezi jua kama kulikuwa na uchaguzi. Pia October 2025 hujui kama kuna uchaguzi, unapelekeshwa tu na Mhaini Lissu kama nyumbu eti No reforms no election!! 🤣🤣
Siyo kwamba nyinyi mnaoshiriki kwenye hayo maigizo yenu ndiyo nyumbu na misukule msio jitambua.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Sasa ulitaka awaachie mbwa hawa mashoga kuja kuchafua amani? mjinga mkubwa wewe hamia Kenya kwenye democracy, hapa toka leta ujinga shughuli utaiona au baki humu kujificha.
Huyo unayemtetea alishaacha ushoga? au unapotezea hujui. tulete taarifa za dodoma, au?
 
Hili Mlibebe kama lilivyo, Najua mnajua, Mifumo yenu Iko na Mianya mingi .

Mashambulizi yoyote ya Kimtandao kwenye Taasisi za Afya, mfano, Muhimbili, MOI , Viwanja vya Ndege , Bandari ya Dar , Ma Bank , hata Kwa Masaa mawili , Taifa litakua limeingia Hasara ya Mabilioni kadhaa ya FEDHA..

Kwa hivo nitoe Rai, Waachieni, warudi nchini Kwao.

Kama mnajidangamya Mna Ma IT Uchwara Hawa wa UVCCM, Subírini kitakachowakuta !!
 
Back
Top Bottom