Umeandika upupuAmeshasahau kuwa Mwanaharakati Field Marshall John Okelo wa Uganda ndiye alileta uhuru Zanzibar?
Hata uhuru wa pili wa Tanganyika utaletwa kwa kushirikiana na wana Afrika Mashariki
Nimempenda Rais wangu na nampongeza kusimama km Rais, simama imara Rais wetu wanakujaribu. Be strong usisikilize kimaAkizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Pia soma
- Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
- Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu
- Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)
- Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
- Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu
Hakubaliki kwa nani we nyumbu,labda kwa nyumbu km ww. Samia atapata zaidi ya 90%Ulafi wa Madaraka na ujinga kwakuwa kashagundua hakubaliki
Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Pia soma
- Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
- Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu
- Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)
- Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
- Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu
Sasa ulitaka awaachie mbwa hawa mashoga kuja kuchafua amani? mjinga mkubwa wewe hamia Kenya kwenye democracy, hapa toka leta ujinga shughuli utaiona au baki humu kujificha.
Acha kuleta maswali ya kitotoASP kilikuwa chama cha nchi gani?
Kumbe 2020 kulikuwa kuna uchaguzi! Dah! Ndiyo nasikia kwako.Alichaguliwa mwaka 2020. Ndio utaratibu ukichagua Rais na Makamu wake anachaguliwa pia.
Wengi watapita kimnya kimnya hapa.Mlianzaje kwenda kuomba kuungwa mkono na Captain Ibrahim Traore ili Prof. Janabi ashinde, wakati mkijua huyo Traore mwenyewe hakuchaguliwa kwenye kura? Alipindua na angeshindwa angeshtakiwa kwa uhaini? Je huu siyo undumilakuwili?
Iweke hapaSoma upya historia ya Zanzibar.
Andika wewe ambao siyo upupuUmeandika upupu
Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Pia soma
- Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
- Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu
- Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)
- Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
- Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu
Pumbas,Watu mliopo karibu na huyu Mama, mnapaswa mumshauri vizuri mama huyu. Naona sasa hivi ameanza kvuka mstari mwekundu. Chonde chonde, mumshauri vizuri huyu mtu, awe na heshima na hekima kwa kauli zake dhidi ya watu wengine. Kauli za jeuri na dharau Kama hizi hazifai, zinaweza kumponza.
Hata aliyekuwa Rais wa Liberia dikteta Samuel Doe kabla ya kupinduliwa kwake aliwahi kuwa na kauli mbovu kama hizi hizi dhidi ya Watu waliokuwa wakimkosoa, lakini arobaini zake zilipotimia, hakuna Mwananchi Wala Mwanajeshi hata mmoja aliyejitokeza hadharani kwenda kumtetea wala kumpigania. Wananchi wote kabisa na Wanaharakati wote kabisa walijiweka kando na kumwacha Rais Samuel Doe akidhalilishwa hadharani kwa kuvuliwa nguo zote huku akirekodiwa akiwa mtupu uchi wa mnyama bila nguo. Kutokana na jeuri, kiburi na kauli za dharau aliZokuwa nazo Rais Samuel Doe, Wananchi wengi wa Liberia walifurahi Sana kumuona Rais wao akidhalilishwa.
Huwezi kuamini, Mtu aliyeshiriki kutoa adhabu hiyo kali kwa Rais Samuel Doe, Bw. Prince Johnson kamwe hakuwahi kuhojiwa na chombo chochote kile cha Usalama, hakuwahi kukamatwa wala hakuwahi kushitakiwa kwa kufanya kitendo hicho kwa sababu watu wengi sana walifurahishwa na kitendo hicho alichomfanyia Rais. Yote haya yalisababishwa na chuki kubwa sana waliyonayo Wananchi wa Liberia dhidi ya Rais Samuel Doe.
Watawala wa nchi wanapaswa wajifunze kitu kutokana na mkasa huu mbaya uliomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia Dikteta Samuel Doe.
Harakati kwenye 3rd World Countries ni sawa na kifoAkizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Pia soma
- Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
- Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu
- Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)
- Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
- Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu
We utaishi milele?Nae atakufa mdomo wazi! Si alizunguka duniani kote kwamba atakuwa mfano wa democracy sasa nini kimempata