Unaongelea police wa Kenya au wa Tanzania?Hakuna marefu yasiyo na ncha...
Kutumia nguvu ndipo wanaharibu zaidi.. kun muda hao polisi wataanza kuonekana kama migambo..
Siasa za ndani hazimaanishi freedom ya watawala kuwabambikia kesi, kuwateka, kuwapiga na hata kuwaua raia wanaoikosoa Serikali. That’s barbarism!Siasa za ndani siyo Siasa za Africa mashariki Wakenya ni lazima walielewe hili
Ndio sababu nchi zina mipaka ya kiutawala
Naona hapa Citizen muda si mrefu wanaweka mjadala wa Kesi ya Lisu, hawa Watu wakorofi sana Mbona Sisi hatufuatilii mambo yao
Mlale unono
ASP kilikuwa chama cha nchi gani?Mara hii amesahau kama karume alijificha wakati wa mapinduzi ya zanzibar lakini mwanaharakati kutokea uganda john okelo alitimiza majukumu yake na wakapata uhuru, wale mliokua mnakataa kwamba maagizo hayatoki kwake nadhani sasa amewapa jibu sahihi yeye mwenyewe kwa kinywa chake
Leo ndo nimeona zero brain namba mojaSiongezi neno!
View attachment 3339080
MfuateNatamani angekuwepo JPM hawa angewashughulia sijui wanaharakati, walitaka kumpanda huyu Mama lakini sasa hii kauli ikafanywe kwa vitendo. Ujinga huko
Hii nchi inashangaza sana, bungeni nako hali ni hiyo hiyo!Hao wanaoshangilia wananishangaza sana.
Soma upya historia ya Zanzibar.Ameshasahau kuwa Mwanaharakati Field Marshall John Okelo wa Uganda ndiye alileta uhuru Zanzibar?
Hata uhuru wa pili wa Tanganyika utaletwa kwa kushirikiana na wana Afrika Mashariki
Hizo mbwembwe ni za kawaida sana kufanyiwa viongozi wa kiafrika na hazijawahi kusaidia lolote zaidi kupoteza muda. Nyie mtapigishwa kwata kutwa kiguu na njia kila baada ya wiki 2 Kisutu lkn hakuta kitakachobadilika zaidi ya kupoteza rasilimali zenu tuHoja yako ilikuwa nini ? Ulitaka pendekezo nini kifanyike sio?
Samia hatoweza kujiuzulu ndio ila 2025-2030 kwake itakuwa chungu Sana .hapo kisutu Tu kuna dimbwi hizo utadhani CCM wamenzisha kilimo cha vyura na samaki
Acha kuongea ujingaAmeshasahau kuwa Mwanaharakati Field Marshall John Okelo wa Uganda ndiye alileta uhuru Zanzibar?
Hata uhuru wa pili wa Tanganyika utaletwa kwa kushirikiana na wana Afrika Mashariki
Na wewe hali yako itakuaje kiuchumi miaka 30 mbele wakati ambao utakuwa retire?Hizo mbwembwe ni za kawaida sana kufanyiwa viongozi wa kiafrika na hazijawahi kusaidia lolote zaidi kupoteza muda. Nyie mtapigishwa kwata kutwa kiguu na njia kila baada ya wiki 2 Kisutu lkn hakuta kitakachobadilika zaidi ya kupoteza rasilimali zenu tu
Kwani yeye hana akili?Anashauriwa vibaya.
anakotokea bi ushungi ndio mashoga wamejaa teleSasa ulitaka awaachie mbwa hawa mashoga kuja kuchafua amani? mjinga mkubwa wewe hamia Kenya kwenye democracy, hapa toka leta ujinga shughuli utaiona au baki humu kujificha.