PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Atawadhibiti wangapi? Ameua, amepoteza, ameteka, amefunga, anatisha, nk. Ila kila siku wakosoaaji wake wanazidi tu kuongezeka. Mimi nafikiri hivyo vyombo vya usalama vingetafakari kwanza hizo kauli zake ili kuepukana na maafa makubwa zaidi ndani ya nchi.
Anatakiwa akudhibiti na wewe!
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha...
Kutumia nguvu ndipo wanaharibu zaidi.. kun muda hao polisi wataanza kuonekana kama migambo..
Jaji mkuu wa Kenya Willy Mtungi ndio mojawapo ya watovu wa nidhamu?

Au Waziri wa zamani wa katiba na sheria Martha Karua?

Kweli madaraka ya uraisi yanambadilisha binadamu, nahisi huwa wanajiona wao ni Mungu kabisa.

Unakasirika kwa sababu walikuja kusikiliza kesi!

Daaaa, dunia ina maajabu.
 
Nikianza na kauli ya kusema tuache kuiona FRELIMO kama chama kilichotumia "base" ya Tanzania kujikomboa utakuwa unakosea maana historia ipo tuisome na ina tabia ya kujirudia.

Ukisema uhalali wa hii serikali kuwa ni "democratically elected" nadhani tutahitaji mjadala mwingine mpana zaidi maana tukitable hapa evidence ya yote yaliyofanyika sidhani kama ni serikali iliyochaguliwa kidemokrasia.

Nikija katika hoja ya pili Martha Karua hakuja kupractice , amepractice kule Uganda kwenye kesi ya Besigye ambapo kwa mujibu wa sheria aliapply temporary practicing licence wakamnyima mara ya kwanza lakini baadae alipewa so alikuwa na jurisdiction na sio kwa kesi ya Lissu.

Kuhusu chuki , serikali yetu ndio imetengeneza chuki na wanawajibika kutengeneza mazingira, kwanini ? Jibu ni jepesi wao kama wanajumuiya wanapata uhalali wa mkataba ule kuruhusu freedom of movement katika jumuiya maana yake wanapata visa on arrival sasa kama wamefika kulikua na sababu gani ya kuwanyima kuingia na hawapewi sababu kwa makosa waliyofanya zaidi ya kunyimwa ruhusa?

Pia kama ni hivyo ni majuzi tu tumeshuhudia naibu katibu mkuu wa Chadema amekamtwa kabla hajasafiri na polisi wanasema amekuwa anatoka nje ya nchi mara kwa mara bila utaratibu je huo utaratibu ni upi mbona hawausemi ?

Serikali kwa kona kona zake inazalisha speculation na ndio chuki zinaanzia hapa.

Tukija katika hearing ya kesi kimsingi kesi hii hadi sasa haina fair hearing

Mosi tarehe 24 mwezi jana wafuasi wa Chadema na wanahabari wasiokuwa na silaha walipigwa vibaya na kujeruhiwa na polisi kwa kwenda kusikiliza tu kesi mahakamani hadi leo hakuna chombo chochote kimetolea maelezo sababu ya kuwapiga hao wafuasi na wanahabari.

Pili , Lissu alinyimwa haki ya kuongea na wanafamilia na mawakili wake na ilipotokea anapewa nafasi wanawekwa kwa umbali na polisi anakuwa karibu kusikiliza mazungumzo hii ni kinyume na taratibu kwenye kanuni ya natural justice.

Tukubali au tukatae Samia ana wasaidizi inept na ndio waliompotosha kuanzia ukamataji mpaka uendeshwaji wa kesi ya Lissu na hawa ndio wameifikisha hii chuki na bado wanazidi kumwaga mafuta zaidi kwenye moto bila kushtuka.
Hakuna anaesema kesi ya Lissu aina ngonjera za serikali. Either way the situation has improved compared to earlier, toka mawakili wake waonge.

If anything tulichokiona mahakamani leo ni kama circus, you cant get that kind of freedom anywhere. Mkiingia ndani ya mahakama hakuna kuongea tena; yaani mahakamani mfungwa anaongea na audience kama mpo kwenye mkutano wa familia kabla ya kikao kuanza.

Upande wa huyo mwanasheria wa Kenya walau umekiri hana kibali cha ku-practice law Tanzania. Vilevile kwa kuwa sio journalist hana uhalali wa kuita media ndani ya Tanzania na kuongelea kesi au kuiponda serikali huko ni kununua ugomvi na serikali hata huko ulaya kama sio raia wa nchi husika.

Serikali ya Kenya inatakiwa iwakanye raia wake, just because wana poor security measures aina maana East Africa kuna security lapse.

Hakuna cha wakenya wakorofi wala nini isipokuwa hiyo ni nchi ambayo security ni poorly trained. Imagine wezi wa ng’ombe wanaweza zidi nguvu jeshi na kutoroka. N’gombe zaidi ya 100 hata kama ni kuwapakia kwenye magari kikosi kamili kishafika. Wao huko kwao majangiri wanatoweka na mifugo 200 mpaka 300 tena kwa kuswaga tu na mapambano na askari; askari wao ndio wanajeruhiwa na kukimbia.

Tanzania ni nchi nyingine, hizo heroic activities za wakenya wachezee huko kwao.

Laters mkuu 👋
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ndio anakuwaje, huyo?

Anapewa kibali cha ku-prectice law bila ya ‘jurisdiction’.

Embu tuwe serious saa zingine, ukiwa ndani ya Tanzania; you are subjected to Tanzania laws.

Serikali ya Kenya inatakiwa ku-defuse hii potential diplomatic rift, inayotaka kuletwa na raia wake wenye vihere-here.

Huyo msemaji wao na media zao ni muda wa kuwaeleza raia wa Kenya hasa wanaharakati ukienda Tanzania your subjected to their laws.

Hata hao wazungu wanawaonya kabisa raia wao, mnapoenda huko duniani wenyeji wanasheria zao.

Sio kukutetea udhalimu wowote, lakini rules are rules.
Sawa mkuu
 
Hakuna anaesema kesi ya Lissu aina ngonjera za serikali. Either way the situation has improved compared to earlier, toka mawakili wake waonge.

If anything tulichokiona mahakamani leo ni kama circus, you cant get that kind of freedom anywhere. Mkiingia ndani ya mahakama hakuna kuongea tena; yaani mahakamani mfungwa anaongea na audience kama mpo kwenye mkutano wa familia kabla ya kikao kuanza.

Upande wa huyo mwanasheria wa Kenya walau umekiri hana kibali cha ku-practice law Tanzania. Vilevile kwa kuwa sio journalist hana uhalali wa kuita media ndani ya Tanzania na kuongelea kesi au kuiponda serikali huko ni kununua ugomvi na serikali hata huko ulaya kama sio raia wa nchi husika.

Serikali ya Kenya inatakiwa iwakanye raia wake, just because wana poor security measures aina maana East Africa kuna security lapse.

Hakuna cha wakenya wakorofi wala nini isipokuwa hiyo ni nchi ambayo security ni poorly trained. Imagine wezi wa ng’ombe wanaweza zidi nguvu jeshi na kutoroka. N’gombe zaidi ya 100 hata kama ni kuwapakia kwenye magari kikosi kamili kishafika. Wao huko kwao majangiri wanatoweka na mifugo mpaka 200 mpaka 300 tena kwa kuswaga tu na mapambano na askari; askari wao ndio wanajeruhiwa na kukimbia.

Tanzania ni nchi nyingine, hizo heroic activities wakenya wachezee huko kwao.

Laters mkuu 👋
Lissu ni Mwanasiasa pia ni Mwanasheria Mzuri tu na Mahakama ni Muhimili tuna Sema uko Huru sio Kuna kifungu gani kavunja Kuongea na wafuasi wake Mahakamani ni Tatizo
 
Lissu ni Mwanasiasa pia ni Mwanasheria Mzuri tu na Mahakama ni Muhimili tuna Sema uko Huru sio Kuna kifungu gani kavunja Kuongea na wafuasi wake Mahakamani ni Tatizo
Huyo ni Mhaini na Msaliti wa nchi yake kwa Wabelgiji.
 
Enzi ya JPM kulikuwa na wakuu wa mikoa ambao waliokuwa wanatoa kauli kali dhidi ya Kenya, lakini yeye alichagua kuwa kimya na kufanya mazungumzo na kiongozi mwenzie kiutuuzima kwa njia ya mtandao kisha mtasikia hilo suala wamelimaziza.

Kinachotokea sasa sio ajali na wala sio isivyo bahati ila ni kanuni matendo huzaa kilichosababisha kutenda. Tanzania imejitengenezea yenyewe maadui watano bila kuchokozwa na yeyote ambao ni: Lilolngwe, Capetown (Rejea vitisho vya waziri wa kilimo), Kigali (mambo ya M23 huko Goma DRC), Kampala na Nairobi (zuizi kwa wanasheria na jaji mwandamizi kuhudhuria kesi ya TAL) heading to the abyss of mk
Mkuu tuwekee hapa ayo matamko kama hutojali
 
Asante sana Mh. Rais wetu, hakika hapa umenena haswa, Mkuu wa nchi kasema, wengine sisi ni kutekeleza tu. Amani yetu Utulivu wetu kamwe usije chezewa na binadamu yeyote, toka nchi yoyote, hilo lisije tokea milele na milele, asante sana Mh. Rais wetu, Mungu akulinde daima.
Haujawahi kufikiri kwa kujitegemea.Ni kupamba tu.Dunia ni kijiji.Huwezi kuzuia mambo kizuzu tu.
 
Ameshawaambia labda wako kwenye process. Rais akisema inakuwa sheria.
Huyo rais unaye muongelea hapa huenda akawa ni wa viti maalum tu. Hakuna mtu aliwahi kumchagua.
 
Siasa za ndani siyo Siasa za Africa mashariki Wakenya ni lazima walielewe hili

Ndio sababu nchi zina mipaka ya kiutawala

Naona hapa Citizen muda si mrefu wanaweka mjadala wa Kesi ya Lisu, hawa Watu wakorofi sana Mbona Sisi hatufuatilii mambo yao

Mlale unono
 
Naona msharudi ofisi za rumumba CCm baada kushinda kuwa akili milembe
 
Huyo rais unaye muongelea hapa huenda akawa ni wa viti maalum tu. Hakuna mtu aliwahi kumchagua.
Alichaguliwa mwaka 2020. Ndio utaratibu ukichagua Rais na Makamu wake anachaguliwa pia.
 
Jaji mkuu wa Kenya Willy Mtungi ndio mojawapo ya watovu wa nidhamu?

Au Waziri wa zamani wa katiba na sheria Martha Karua?

Kweli madaraka ya uraisi yanambadilisha binadamu, nahisi huwa wanajiona wao ni Mungu kabisa.

Unakasirika kwa sababu walikuja kusikiliza kesi!

Daaaa, dunia ina maajabu.
Ni aibu hii...
 
Back
Top Bottom