Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Marufuku blue band kuja bongo, watuache na mihogo yetu na chachandu
Hiyo ni kazi ya bongo movie na wenzao akina diamond, sisi wengine tuko jelaWakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.
Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.
Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?
Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?
Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)
Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.
Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.
Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?
La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?
Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?
Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.
Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.
Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.
Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.
Nawasilisha
Siyo mpaka tu tufunge na anga letu ikiwezekana tutumie iron dome ya israeli.Tufunge mpaka
Idd Amin Mama kuambiwa ukweli kwako ni matusi? Kenya hakuna UCHAWA, level ya demokrasia iko juu sana. Samia anavuna alichopanda.Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.
Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.
Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?
Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?
Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)
Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.
Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.
Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?
La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?
Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?
Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.
Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.
Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.
Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.
Nawasilisha
Hii serikali ya TZ ambayo imejaa wauaji hatukuichagua. Tunajua mshindi alikuwa nani, CCM haijawahi kushinda, na wala haitashinda,ndiyo maana unaona leo wanafanya mambo ya kipumbavu, CCM hawawezi kushinda iwe huku Mainland au Zanzibar. Huyu mama anajua, hatumtaki. Anang'ang'ania nini? Hiyo katiba iliyomweka kwa bahati mbaya haiamini, sasa anafanya nini hapo?Wakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.
Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.
Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?
Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?
Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)
Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.
Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.
Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?
La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?
Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?
Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.
Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.
Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.
Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.
Nawasilisha
Cha kwanza ni kumfukuza kazi wazuri wa mambo ya ndani na IGP kwani ndiyo chanzo cha Aibu hizi za sasa, hawa watu wamekuwa wakiwatuma Polisiccm kufanya vitendo haramu vya kishetani pasipo kutafakari Athari zake baadae, mfano sasa wamembambikia Lisu kesi ya Uhaini na kama kesi ni ya kweli wanaogopa nini jumuia za kimataifa kuja kusikiliza mahakamani? Ujinga wanayowafanyia chadema wanaenda kuwafanyia wageni wanadhani watakaa kimya? Aibu ya mama kudhalilishwa kutukanwa wizara ya mambo ya ndani iwajibike ni Aibu kubwaWakuu !
Naandika uzi huu saa7 na dk 9 usiku baada ya kuwaza na kuwazua bila kupata majibu.
Kama tittle ya huu uzi inavyosomeka, wiki hii kumekuwa na video nyingi kwenye mitandao ya kijamii (YouTube, X, TikTok nk) zikionyesha jinsi Vijana wa taifa la Kenya wanavyomshambulia kwa matusi mazito raisi wetu Mh. Samia na Watanzania wengi tunatukanwa.
Najiuliza hivi kwanini Serikali yetu haijatoa tamko lolote kukemea haya maneno machafu yanayotamkwa na GenZ wa Kenya?
Ukimya huu unadhihirisha nini ?
Kwamba Watanzania ni kweli ni mambumbu, huduma za kijamii (Elimu, afya) zinazotolewa na serikali zipo chini ya ubora na viwango?
Watanzania hasa Wasanii ni kweli ni Mashoga ? ( Hakuna hata kanusho kwa Wasanii waliotajwa)
Ni kweli lugha ya kiingereza kwa Watanzania ni changamoto.
Watanzania wanaoishi Kenya wametukanwa sana. (Wachafu, ombaomba, wanafanya biashara za kuuzwa njururu, kahawa etc.
Na vitisho vya GenZ kwa mamlaka za Serikali yetu Parliament, Court na Ikulu) kuwa watavamia ipi mbona Msemaji wa Serikali hajatoka hadharani na kutoa tamko la Serikali ?
La kisikitisha ni yale matusi anayotukanwa raisi wetu, ukiachana na uraisi wake yeye ni Mama, Mke na binadamu mwenye moyo wa nyama. Wako wapi wale wanaomuimba Mama, Mama, Mama ? Wameshindwa kutoa kauli yoyote?
Kwa Ukimya huu, Je GenZ wameogopeka ? Au Serikali imeamua kunyamaza na kufunika Kombe ?
Hii ni dharau sana kwa Taifa letu. Pamoja na mambo ambayo yanayoendelea nchini kwetu Ifikie wakati Serikali itoe kauli ya kulaani na kukemea kauli zinazoendelea ku trend mitandaoni.
Wakati mwingine ufike wakati Viongozi wa Serikali muwe mnapata ridhaa ya wananchi sio kubebwa bebwa na Tume ya Uchaguzi na TAMISEMI. Tunatukanwa na Watoto wa nchi jirani na mmenyamaza hakuna kauli yoyote iliyotoka.
Ifikie wakati kama Taifa viongozi wa Serikali muwe na baraka za Wananchi sio michezo ya kupitishana bila baraka za wananchi.
Naamini kama mngekuwa na baraka za Wananchi hata Sisi Watanzania tungejibu hivyo vita vya maneno. Tena sisi Wabongo kwa maneno machafu tuko vyema sana.
Nawasilisha
Waziri wa mambo ya Ndani na IGP ni watamfanyika cha Ajabu wanatumwa au kujituma na mzanzibar kuwatesa kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo watanganyika wenzao kwa njia haramu za kishetani, sasa wamebweteka wamevuka mipaka kwenda kenya angalia Aibu iliyomkuta mama sasa, hatua inayofaa ni kuwafukuza kazi mara mojo kwani bila ujinga wao leo hii tusingekuwa hapaHii serikali ya TZ ambayo imejaa wauaji hatukuichagua. Tunajua mshindi alikuwa nani, CCM haijawahi kushinda, na wala haitashinda,ndiyo maana unaona leo wanafanya mambo ya kipumbavu, CCM hawawezi kushinda iwe huku Mainland au Zanzibar. Huyu mama anajua hatumtaki. Anang'ang'ania nini? Hiyo katiba iliyomweka kwa bahati mbaya haiamini, sasa anafanya nini hapo?
😂 Inafurahisha 😂UVCCM mnaringia utekaji tu, hakuna atakayeishi milele hapa duniani.
Keyboard fighter upo vzr hapo geto kwako 😂Hii serikali ya TZ ambayo imejaa wauaji hatukuichagua. Tunajua mshindi alikuwa nani, CCM haijawahi kushinda, na wala haitashinda,ndiyo maana unaona leo wanafanya mambo ya kipumbavu, CCM hawawezi kushinda iwe huku Mainland au Zanzibar. Huyu mama anajua hatumtaki. Anang'ang'ania nini? Hiyo katiba iliyomweka kwa bahati mbaya haiamini, sasa anafanya nini hapo?