Mlianzaje kwenda kuomba kuungwa mkono na Captain Ibrahim Traore ili Prof. Janabi ashinde, wakati mkijua huyo Traore mwenyewe hakuchaguliwa kwenye kura? Alipindua na angeshindwa angeshtakiwa kwa uhaini? Je huu siyo undumilakuwili?Siongezi neno!
View attachment 3339080
πFamilia yangu haiko kwenye siasa Wala Mimi sio mwanasiasa Wala huwezi nikuta mtandao mwingine tofauti na hapa jf.
mpaka shemeji wa dada yako toka burundi maana anaweza kuongeza watoto kwa dada yako
nimemuona leo mkutanoni. naona kapungua sijui ni stress?Mama yupo kwenye panic mode ....shenziiii ulifikiri uraisi ni kazi nyepesi? Na hapo bado October haijafikaa
Huyu zanzibar ana ugojwa wa akili . Kikweti ulaniwe na kizazi chako chote. Kuwezesha vichaa kuwa raisi ukifikiri watakufanya uonekane vizuri. Mimi nilifikiri baada ya kufanya makosa ya kumfanya mwendawazimu Magufuli kuwa raisi na watu kumia sana. Basi ugejuta na kujirudi lakini badala yake ukaleta mwendawazimu mwingine wa kike tena kutoka visiwani. Ipo siku kikwete na familia yako mtalipa damu za watanzania zinazo endelea kumwagwa.Siongezi neno!
View attachment 3339080
huna cha kuongea laza komwempaka shemeji wa dada yako toka burundi maana anaweza kuongeza watoto kwa dada yako
huna cha kuongea laza komwe
Naomba niulize hivi FRELIMO kilikua chama cha wanaharakati au kikundi cha kigaidi?Serikalini kuna mambo mengi, wenyewe wanakimbazana South Africa kwa matibabu kimya-kimya kila siku kwa jinsi wanavyowindana.
Kama hizo sio stress za kutosha, wakenya nao wanataka kuwa sehemu ya equation ya matatizo ya uongozi wake βspare a thoughtβ.
Ila Kenya inavuka mipaka ya diplomacy, ni sawa vyombo vya habari vya Kenya kuja Tanzania na kuripoti,
Lakini majaji wastaafu wa Kenya hiyo ni no-no-no for diplomatic relations. Kwa upande wa wanaharakati wa Kenya kuja na kujifanya watetezi tena kuongea na media; huo ni uchokozi kwa serikali yeyote duniani.
Swali mbona kawai kujibu Hawa
Kwanini hoja zetu hazijibu?
Tanzania ni kisiwa? Je anashindwa Nini kujibu hoja za no reform no Election?
Samia mchawi ni wewe usimtafute kenya!
Wewe ndiye mchawi na serikali yako endelea kushupaza shingo you will be suprise!!!
ukishindana na kichaa, basi unakua kichaa borawe umeonge nini hapa zaidi ya kusifia ujinga ambao unaishi kwa dada yako nimekugusa nini
ππππ πππ ππππππ πππππππππππ ππππ ππππππππ πππππ ππ ππππππππ
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mambo ya Nje, Wizara ya Mambo ya Ndani na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchukua hatua za haraka kwa wanaotumia mitandao na teknolojia vibaya, akikemea pia wingi wa Wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania na kutaka kuivuruga amani.
Rais Samia amesema hayo Jijini Dar es salam leo May 19, 2025 wakati akizindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024), ambapo amesema hatotoa nafasi kwa watovu wa adabu kutoka nje ya nchi kuja kujaribu kuvuruga amani, utulivu na usalama uliopo nchini Tanzania.
βTusiwe shamba la Bibi kwamba Mtu anaweza kuja Tanzania akasema analolitaka, lipo Tanzania halipo, Watu wakajisemea tu, tumeanza kuona mwenendo wa Wanaharakati ndani ya Ukanda huu kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku, sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia, tusitoe nafasi walishavuruga kwao, nchi iliyobaki haijaharibika ni hapa kwetu, niwaombe Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutotoa nafasi kwa Watovu wa adabu wa nchi nyingine kuja kutovuka hapa kwetu, hapanaβ
βNimeona clip kadhaa za kunisema, nipo bias na nini, ninalofanya ni kulinda nchi yangu na ndiyo wajibu wangu niliopewa, kwahiyo hatutotoa nafasi kwa kiumbe yeyote kuja kutuvurugia hapa awe yupo ndani ama anayetoka njeβ
Katika maelezo yake, Rais Samia ameitaka Wizara na Maafisa wanaohusika kutoa ufafanuzi kuhusu yale yanayosemwa na Wanaharakati na Watu mbalimbali, kukanusha ama kuchukua hatua za haraka ikiwa yanayosemwa yana ukweli kuhusiana na sekta zao mbalimbali.
Panic Mode Activated πSiongezi neno!
View attachment 3339080
Unawaza jambo ambalo kamwe halitokaa litokee. Anayeamini kama wewe eti ipo siku Samia atajiuzulu ana matatizo ya akiliItatosha akishajiuzulu na kukaa pembeni .
Rais mstaafu Samia Suluhu Hassan
KiongoziNaomba niulize hivi FRELIMO kilikua chama cha wanaharakati au kikundi cha kigaidi?