Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

Mbege iko kichagga zaidi!
Hapo amezungumzia mbege tu kumbe? Hivyo vinywaji vingine navyo ni aina ya mbege au ni vya wachagga tu?

"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
 
Aache kutupangia cha kufanya
 
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
Usitupangie!
 
Nadhani hawahitaji ushauri..., wanahitaji kipindi cha mazao mengi kuwe na soko la kutosha mazao yakipungua chakula kiletwe na kuuzwa kutoka ghala la taifa...

Kwani hatuna akiba kama taifa ? (Na kama hatuna ni uzembe wa nani) ?
Unategemea akiba ya taifa wakati unapikia chakula pombe?

This is a very stupid mentality

Anza na akiba Binafsi kabla ya kufika akiba ya taifa

Hivi nyie vitoto vya siku hizi mmekuaje?
 
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.

Aiseee yani Rais ndio anaongea haya! Kwa hiyo watu waache kufanya matumizi kisa ya uhaba? Yaani waache kufanya biashara yani Rais ndio anaona suluhu la kudumu la uhaba wa nafaka hahaha
 
'…Hakuna chakula cha bure…asiefanya kazi na afe kwa njaa…' -Hayati Dr JPM

Moja ya vipawa vikubwa alivyokuwa navyo Hayati JPM ilikuwa makavu live live
 
Back
Top Bottom