Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

Mushiiiii sio suala la kutaja vileo baba anguuuu, ni suala la kuzumgumza uhalisia kuwa raisi kazumgumza na watu wa KLM sio wachaga tuuu etiii.
Watu gani wa Kilimanjaro wasiokuwa wachagga ambao wanatumia nafaka kwenye utengenezaji wa vileo? Ndiyo maana nikakwambia unitajie hivyo vileo. Swali ni lile lile kwa namna ya tofauti.
 
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.

Nafaka ya kutambikia na pombe haihusiani na nafaka ya ugali
 
Watu gani wa Kilimanjaro wasiokuwa wachagga ambao wanatumia nafaka kwenye utengenezaji wa vileo? Ndiyo maana nikakwambia unitajie hivyo vileo. Swali ni lile lile kwa namna ya tofauti.
Mushii inamaana ww ni mgumu sana kuelewa nilichohoji? Hoja sio aina za vileo hoja ni kichwa cha habari kuadress wachagga na quote aliyotoa, raisi inaadress watu wote wanaoishi KLM.

KLM yote ina wanywaji wa pombe, pombe kuu ya kienyeji ikiwa ni mbege...hizi pombe ikiwemo mbege haitengenezwi na wachaga tu, hata wahamiaji wamejifunza na wanaitengeneza na kuuza na kunywa.

Binafsi nishawahi kwenda huko na kuitumia mbege . Ni biashara iliyoasisiwa na wachaga ila isiyowahusu wachagga tu bali watu wa KLM, hadi Arusha inatengenezwa kwenye mabaa na unakuta mmeru ndo mtengenezaji.

"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
 
Kaka Mshana umemsikia chui jike
FB_IMG_1642923152303.jpg
 
Back
Top Bottom